Wanasheri msaada wa haraka sana

Poleni sana kwa hilo...
Kabla ya kutoa ushauri ningependa kujiridhisha kuhusiana na aina ya mashtaka aliyofunguliwa nduguyo, ni ya madai au ya jinai! Uweke ile title ya kesi, mfano..shauri la madai namba...la mwaka...
Au kesi ya jinai namba.... Namna hiyo
Na kama unaweza ungeweka na nakala ya hukumu (unaweza ni-pm kama hupendi iwe wazi )
Hapo tunaweza kuanzia kutoa ushauri.
 
Kweliiliushauriwe wekanakalaya hukumu au kivuli 2
 
Weka nakala ya hukumu au kama huna tuambie mashitaka yalikuwa ni madai au jinai... Ila the best option Itakuwa ni kukata rufaa
 
Poleni sana kwa hilo...
Kabla ya kutoa ushauri ningependa kujiridhisha kuhusiana na aina ya mashtaka aliyofunguliwa nduguyo, ni ya madai au ya jinai! Uweke ile title ya kesi, mfano..shauri la madai namba...la mwaka...
Au kesi ya jinai namba.... Namna hiyo
Na kama unaweza ungeweka na nakala ya hukumu (unaweza ni-pm kama hupendi iwe wazi )
Hapo tunaweza kuanzia kutoa ushauri.
Mkuu asante sana but hizo mimi sina ulewa nazo nimeandika kwa kuataka ufafanuzi hizo nakala nitazifuatilia dai ni sh MIL 1.5
 
Weka nakala ya hukumu au kama huna tuambie mashitaka yalikuwa ni madai au jinai... Ila the best option Itakuwa ni kukata rufaa
Asante sana mshitaka ambae ni katibu wa kikundi anaukwasi hata kuzunguka mbuyu kumehusika sana katika kesi hii
 
Mkuu asante sana but hizo mimi sina ulewa nazo nimeandika kwa kuataka ufafanuzi hizo nakala nitazifuatilia dai ni sh MIL 1.5

Kesi ni mapambano, jitahidi ufuatilie nakala za hukumu hiyo ndio itaweza kutoa mwanga wa namna gani usaidiwe
 
Unaweza kifungwa jela hata kwa kesi ya madai kama hiyo yako. Unakuwa civil prisoner na anaekudai analipia kiasi flani cha hela kugharimia kifungo chako. Hii ni utaratibu wa sheria ili kulazimisha watu kuwajibika kulipa madeni. Bila kifungo watu wangepuuza tu
 
Ufafanuzi mzuri lakini mtu hajakataa kulipa mkuu
 
Back
Top Bottom