ninahitaji kufahamu kama kuna sheria inayoweza kumfunga mtu aliyemdharirisha ndugu yake wa damu kwa kufanya nae mapenzi.
Kuna mtoto wa kike wa shangazi yangu(umri 19) alikuwa anakaa na kaka yake wa damu mwenye umri miaka zaidi ya 50. kutokana na tamaa za huyu kakake akamshawishi akawa anafanya nae mapenzi kwani bila hiari yake( japo hakuwahi kupiga kelele)
Ombi langu ni
1:Kujua taratibu zipi za kisheria ninaweza kuchukuliwa kumuadhibu huyu mdharirishaji
2:Je kuna sheria yeyote inayohusiana na udharirishaji wa kingono kwa ndugu ndani ya familia?
Ahsanteni wakuu