Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Polisi waliofika Jamii Media wame confiscate nyaraka za usajili wa BRELA and there is a compelling reason for that.
Labda tusome kwanza regulation iliyomkamata Maxence Melo:
Electronic and...
Ninauliza kufuatia tukio la Bw. Max huku nikilinganisha na lile lilitokea la Apple kule Marekani.
Kama JF ingekuwa kampuni with limited liability, Max angekamatwa au kampuni ndio ingeshtakiwa...
Habarini wadau,
Awali nilishtakiwa kwa uvamizi wa eneo la mtu ambalo nami niliuziwa, nikashinda kesi baraza la ardhi nyumba na makazi ngazi ya kata, niliemshinda akakata rufaa, baraza la wilaya...
Case study, case ya mexence mello
Pale inapotokea polisi/serikali wanapokukamata kwa lengo la kukuhoji kuhusu case fulani bila idhini yako baada ya muda let say 3 days wanakuachia baada ya...
Background of the case
High court of Iringa registry found G. 2573 Pacific Cleopas guilty of manslaughter. On 2cd September 2012, Chanel Ten Television Journalist, Daudi Mwangosi had gone to...
When bias is alleged in a case by the accused/applicant, the Judge is advised to do the following:
In the case of, Kishore Vallabhdas and Another Vs. SMZ (Zanzibar) Criminal Appeal No. 80 of 1999...
Salaam wadau!
Yapata miaka miwili sasa tangu nifungue mashtaka CMA dhidi ya kampuni fulani ya hapa jijini Dar (jina kapuni).
Kampuni ilisitisha mkataba wangu wa miaka 2 due to redunducy ambayo...
Dawa Ya Deni Ni Kulipa!,jamani Naombeni Msaada Wa Kisheria Kuna Jamaa Alinikopesha Hela Ya Riba Laki Nne400000 Ambapo Nilitakiwa Nimlipe Laki Sita,nilikubali Coz Nilikuwa Na Matatizo Nimemlipa...
Habari wanajanvi! Naomba kujuzwa. Je, Kuna sheria yoyote ambayo inamlinda mfanyakazi ambaye hajapewa mkataba na amefanyakazi mwaka mmoja na nusu ikitokea amesimamishwa Kazi Mara moja?
Uhuru wa mahakama ulitamalaki na hawa, to mention but a few
1. Lugakingira
2. Mwalusanya
3. Mroso
Being a Judge is not easy! as it is now!
www.bbc.co.uk/news/world-africa-35562081
Kumekuwa na ubabe mkubwa mkubwa sana unaofanywa na serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kuhusu kulipa madeni ya mikopo ya 'tuition fees' na kufikia hata hatua ya kutu-brand...
Wakuu,Serikali Ishaupeleka Bungeni Muswaada wa Sheria ya Msaada wa Kisheria 2016-(Legal Aid Bill of 2016) na Kusomwa kwa Mara ya Kwanza!
Muswaada Utawatambua Watoa Msaada wa Kisheria,Hasa Watakao...
Wadau mnisaidie, kuna ndugu yangu alikuwa na kesi kazini kwake lakini kabla ya kutatuliwa katika kikao cha nidhamu mdau alikuwa anajiskia kuugua hata akashindwa kuhudhuria tarehe zilizopangwa...
WHY HARDWARE DEVICE ARE NOT VERY USED IN LEGAL EVIDENCE TO COMPARED TO SOFTWARE
KWA NINI HARDWARE DEVICE(MFANO COMPUTER,MOBILE PHONE) HAZITUMIKI SANA KAMA USHAIDI MAHAKAMANI UKILINGANISHA NA...
Nina watoto 3 ninawalea bila baba yao, Nakaa yumba ya kupanga Tandale kwa Tumbo Nafanyakazi ya uuguzi hospitali moja kinondoni, baada ya makato yote mshahara wangu ni sh. 547,058.24. nauli yangu...
Hello guys l am a first year student of law at udom.
I have the have not understood to these terms that we have been given as a question to deal with, the question is that.
The strict liability...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.