Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wakuu Nimeanzisha group la whatsapp kwa wale wanaohitaj msaada au ushaur WA Kisheria bure,, weka namba yako niku add
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Nifanye nini endapo hakimu anaonyesha kama anakukandamiza mbele ya mshitaki wako? Hancy
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kufuatilia taarifa mbalimbali. Nikiwa pale nikasikia karani wa Mahakama akitaja majina Na kuelekeza kuwa waliotajwa kesi zao ziko Kwa mahakimu Kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama tunavyofahamu kuna wanaume wengi hukimbia majukumu yanayoendana na kuitwa baba huku mtaani akijisifu yeye ni kidume na kumuachia mwanamke mzigo wote wa matunzo ya mtoto. Je, kuwakata hela ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NO, He was an under performing Chief Justice EVER. He deserves no more
1 Reactions
0 Replies
779 Views
Naomba niulize, kwa mfano Raisi ameona nchi imemshinda hawezi jiuzulu mwenyewe kisheria? Kwani ni lazima amalize miaka mitano? Na kwa mfano akijiuzulu nani anakabidhiwa nchi? Raisi mstaafu wa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
naomba kwa mwenye kujua ni ammendment ya mwaka gani ime ammend sheria ya vileo ya mwaka 1968 ambayo inaonesha umri wa kuuziwa kileo ni miaka 18. Sheria ya mwaka 1968 inaonesha ni miaka 16.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari,kwanza kabisa Heri ya chrismas na mwaka mpya 2017 kwa wote.Kwa wale wenye kumiliki Website zilizosajiriwa au yeyote mwenye uelewa juu ya namna ya kusajiri website hapa tanzania naomba...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Wakuu, Habarini za majukumu nikiwatakia sikukuu njema ya Xmass na heri ya mwaka mpya 2017. Naomba niingie ktk mada kama nilivyoeleza hapo juu. Naomba kujua haki zangu niwapo ktk kikao cha nidhamu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wana jamvi. Kwanza niwatakie maandalizi mema ya 25. Dec. Kama mada ya hapo juu inavyosomeka naleta kwenu ombi nifafanuliwe muda unaokubalika kisheria chaguzi ndogo kufanyika baada ya...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Mambo ya uongo na uzushi huwa ni hatari sana, nchi nyingi zimeingia katika mapigano na mifarakano kwa ajili ya uongo wa watu wachache. Ben - verified user hapa JF ameshiriki ku-publisize uongo...
4 Reactions
30 Replies
6K Views
Upo kazn kwako unahudumia wateja ofisini au mishemishe zako ghafula unagundua kuna mtu anakurecord kwa camera au anakupiga picha pasipo ridhaa yako na ukadhibitisha kwa ushahidi. Je hili ni kosa...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Sheria ya Ajira na Uhusiano kazininNA6/2004 na sheria ya Taasisi za kazi Na7 ya mwakan2007 zinamtafsiri mfanyakazi kuwa Ni mtu yeyote aliyeingia katika mkataba wa ajira wa aina yoyote kumfanyia...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Utafiti ni jia ya kupata ufahamu mpya kuhusiana na jambo au kitu fulani katika muda fulani ndani au nje ya dunia. Mtafiti baada ya kufanya utafiti wake kiutaratibu uwatangazia wahusika na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna suala linaendelea DRC cha kushangaza polisi wanawatawanya wananchi wakati katiba inavunjwa na mtawala kwamaana hiyo polisi ni wajibu wao ni kwa watawala tu?
0 Reactions
2 Replies
893 Views
mtu anadaiwa na manispaa kodi iliozuka kwa mfanyabiashara inaitwa Level anashitakiwa mahakama ya mwanzo eti kesi ya jinai hii inakaaje kisheria wanasheria mtufafanulie
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Wanasheria kifungu hiki ni kwa kiasi gani kimeleteleza kufukuzwa kwa Mwele? Kumekuwa na hoja kuwa alikiuka kifungu hiki. Sioni uhusiano wa yeye kuwajibika. 17. Where there is occurrence of a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaan n hivi: nipo na jamaa tunashea kwenye biashara ya kukopesha pesa kwa liba. Alikuja dada mmoja anaitwa Tatu aliwaleta wenzake wawili wanaoitwa Juliana na mwajuma kwa lengo la kutaka hela sh...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kujua kupitia wanasheria je mtumishi wa umma anapokuwa ameshtakiwa Na Pccb je anaruhusiwa kuendelea Na Kazi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom