Ni kweli Lema anaweza kupoteza Ubunge kwa kukaa mahabusu kwa miezi mitatu?

K M S

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
524
424
Umezuka mjadala kua danadana ya dhamana ya lema nikuvuta muda ili muda uende na ifike miezi mitatu ubunge wake utenguliwe nikweli hii??
 
Amefanya kosa gani!!!?
Hakuna uthibitisho wowote unaofahamika mpaka sasa.
 
Hiyo kama inawezekana pia ni njia nzuri ya kuwatia adabu watukutu
 
Mnataka Kuibaka Sheria kwa chuki Zenu Binafsi dhidi ya Lema .
MNAJIFANYA HAMJUI SHERIA HIYO IMEKAAJE ,MKIDHANI KWA KUZUNGUMZA MNAWEZA KULETA IMPACT YA LEMA KUVULIWA UBUNGE.
ACHENI CHUKI .

MPAKA SASA HAKUNA MAZINGIRA YEYOTE YA LEMA KUVULIWA UBUNGE

LEMA NI MAABUSU HATA AKAE MIAKA MIWILI MAABUSU HAKUNA NAMNA.YA KUMVUA UBUNGE.
SIFA HUPOTE BAADA YA HUKUMU.

ACHENI CHUKI
 
Back
Top Bottom