Chuck j
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 2,361
- 824
Natanguliza shukrani,,nilikuwa unafanya kazi ktk sekta ya utaliii,,kwenye restaurant Fulani ya mwekezaji kwa miezi 6..naaingia asbuhi saaa tano mpaka saaa tano usiku,,,no malipo muda wa ziada..
Tatizo limeanzia hapa, baada ya kuona mshahara haukidhi mahitaji yangu..nikatafuta mahali pengine,,nikaitwa nikafanyiwa interview, nikabahatika kupita..nikaulizwa unafanya mini nikawajibu unafanya kazi mahali.wakaniuliza sababu za kutafuta kazi wakati ninakazi..nikawajbu muda was kufanya kazi ni mrefu na hakuna over time,,wala mkopo na service charge.
wakaniuliza tukikupa kazi Leo uko tayari kuianza lini, nikajbu baada ya week moja,,na wakasema watampigia simu wamuulize,,walimpigia boss wangu akaema ananijua bado ni staff wake..
Boss akaja akaniuliza nikamjibu maslahi, akanijibu ataniongeza, hakuainisha ni ngapi ataongeza, after few day namuuliza akasema amua utakavyo,,huku nyuma jamaaa wananiulizia, niende, nikaamua kuacha kazi, walikoniita hawataki kunipa tena kazi wanadai barua, na huyu jamaa was mwanzo hatoi barua, na mkataba sina na inaonyesha kashaniharibia kazi sijui nitafanyaje..