Je tuna haki kisheria kudai sehemu ya mali ya baba yetu kwenye hili?

prinac

Member
Jul 28, 2015
17
11
Baba yangu alifariki miaka 10 iliyopita na wakati wa uhai wake alikuwa na wake wawili. Kwa bahati mbaya mke wa pili hakubahatika kupata mtoto. Kabla ya kifo aliniita mimi na mama mdogo (mke wa pili) na kutukabidhi nyumba moja. Kwa kuwa alitukabidhi kienyeji yaani bila vielelezo, mama yangu mdogo ameuza eneo la kiwanja chenye nyumba bila kunishirikisha mimi na ndugu wengine.

Kwa kuwa nyumba walijenga wakiwa na baba yangu, je mimi au watoto wa marehemu tuna haki kisheria kudai sehemu ya baba yetu?
 
Back
Top Bottom