Kwa kutumia jicho la ki-layman naona kesi ya My. Lema ya kawaida sana, sio kesi ambayo Lema akipewa dhamana either atahatarisha maisha yake au ya mtu mwingine yeyote. Swali ninalojiuliza Kwa kesi ya kawaida kama hii mtuhumiwa ambaye sio mtu mdogo ni mtu mwenye dhamana anakaa ndani for almost two months, ni udhaifu wa sheria au wanasheria wanaomtetea Au ndivyo Kwa ujumla ulivyo? Na kama hii inatokea Kwa mtu kama Mh Lema vipi kwa sisi watu wa kawaida?