Naombeni ushauri wa kisheria kwenye hili

Mkungwa

Member
Dec 27, 2016
20
5
Mm nilikamatwa na jeshi la polisi taree10-01-2017 mnamomajila ya saamojausikunikiwa nyumbani kwangu walikuwa wanawakimbiza wavuta bangi kwa bahati mbaya na mm nilikimbia pasipokujua waliokuawakikimbia wanakimbia nn gafla nikakamatwa nakupelekwa kituo chapolisi buguluni na kufunguliwa kesi ya kuliusisha na vitendo vya kiuwalifu jana taree13-01-2017 nilipelekwa mahakamani kwenye mahakama ya mwazo buguruni naombeniushaulijamani taree 25-01-2017siku ya mahakamani.
 
Kama kawaida ukiwa mahakamani kanusha/kataa kujihusisha na tukio hilo(yaani usiseme kwamba nilikimbia baada ya kuona watu wanakimbia ukisema hivyo hapo hapo hakimu anamaliza kesi)rudi mtaani mtafute mpelelezi wa kesi kaa nae vizuri nae atamtafuta hakimu mwenye kesi waeleze ukweli wa kilichotokea kisha umalizane nao otherwise kama utani unaweza kwenda ngome!sio wote walio jela wana hatia wengine wameenda kwa kesi za kusingiziwa.
 
Back
Top Bottom