Japo hujafafanua vizuri ni majibu yapi unayoyaongelea.. Maana kuna majibu ya utetezi (WSD) kutokana na hati ya madai (plaint) kwa kesi za madai za kawaida na pia kutokana na maombi ya madai ya ardhi (land application) na pia kuna majibu ya maswali unayoulizwa mahamani au barazani wakati wa usikilizwaji wa shauri..
Fafanua vizuri uweze kupewa majibu sahihi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.