Hivi ni sawa kusema jua limezama? Kama linazama huwa linazama wapi, manaake ukweli ni kwamba dunia ndio inayozunguka. Jua liko pale pale. Mbaya zaidi wabongo tunatabia ya kuita Ulaya eti ni majuu...
Nimekutana na kipande cha utenzi kimenishinda kutafsiri kwa kiswahili rahisi, msaada please
Uwene wangapi watu wakwasi
walo wakiwaa kama shamasi
wamuluku dhana za adharusi
dhahabu na fedha...
Waswahili hebu nijuzeni kwenye hili; Mke/Mme wa Mjomba/Shangazi wangu/yangu ni mwite nani?. Je ni sahihi kumwita Shaangazi/Mjomba?.
Karibuni nguli wa kiswahili kwa mjadala.
Hayati Bibi Titi Mohamed alipojiunga na TANU alimshauri Hayati Nyerere alifunze Kiswahili, binafsi nimekuwa nikijiuliza na kuduwaa kwa hili, maana Wakoloni kuanzia Wajeremani walijifunza na...
Hivi ni sahihi kumuita SECOND MISTRESS wakati kukiwa na HEAD MASTER. Ninavyojua second mistress ni msaidizi wa head master hivyo alitakiwa aitwe SECOND MASTER hata kama ni mwanamke. Nisaidieni...
Wajameni naomba kufafanuliwa hili neno FISADI! hapo nyuma tumesikia kua ufisadi ni ubadhirifu wa mali za umma au kujilimbikizia mali kwa njia isiyo halali, lakini hapa karibuni tumemsikia mkubwa...
Kuna baadhi ya misemo watu wanapenda kuizungumza na wengine kuiandika kwenye magari kwa nyuma kama ujumbe,mda mwingine kufurahisha watu au kuelimisha.
Ila msemo mmoja unasema kwamba ''MASIKINI...
Ndugu wana JF,
Tafsiri ya "Development Finance" kwa Kiswahili imenipa shida sana. Je ni Maendeleo ya Fedha au Fedha za Maendeleo, au nk.
Naomba msaada.
Wenu,
Bavuvi
Jamani neno "virusi" limeingia katika lugha.
Wengu huandika "Virusi vya UKIMWI", "virusi vya kompyuta".
Lakini hii ina matata. Nimeshaona watu wanaoandika "virusi vya kompyuta ni hatari; wiki...
WanaJamii
Habari ya mchana, poleni na majukumu na tafakuri za hapa na pale
Wandugu, nina thesis naiandika kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu, na nahitajika kutumia neno kuchakachua kwa kiingereza...
hivi karibuni nilitembelea wilaya ya mpwapwa na katika kijiji kimoja mwanafunzi mmoja wa kike aliyemaliza kidato cha 4 mwaka jana katika shule ya kata ya kata hiyo mpya iliyoanzishwa hivi karibuni...
Neno Mfawidhi hutumika kwenye nyadhifa ya baadhi ya Weledi kama vile za Utabibu kuwa Waganga/Wauguzi Wafawidhi, kwenye Sheria kuna Jaji Mfawidhi, n. k. Nimeangalia kwenye Kamusi ya Tuki wametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.