Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
maisha ya kizazi cha sasa yapo hatarini kupoteza lugha tunazo zitumia. Ukiangalia kwa makini vijana wa sasa hawafahamu kuongea kwa ufasaha kiswahili, kiingereza, na hata lugha zetu za asili...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF wenzangu Kiswahili kina sauti ngapi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wanaJF ninaomba 2saidiane unajua ninashndwa kuelewa wap 2napoelekea mana kila kukicha ninaona kiswahili ama lugha sijui niseme inakuwa ama kuharibika mana kila siku maneno mapya tena yenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa nikichanganyikiwa hasa katika matumizi ya maneno haya 1. Mahindi mabichi: yanachomwa au yanabanikwa? 2. vitumbua: vinachomwa au vinakaangwa?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Je Wajua maana ya neno SHAROBARO?Maana yake ni ****** ya nyani;hiyo ni kwa mujibu wa kamusi(Dictionary) ya lugha ya Kiswahili.Huwezi amini,lakini ndiyo ukweli wenyewe huo.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu nadhani huyu mtangazaji wa TBC1, Emanuel Amas huwa anakosea pale anaposema "Nikiiripotia TBC1,,mimi ni Emanuel Amasi", iwapo yeye ni mwajiriwa na si kanjanja tu wa kukodi. Kama huwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WanaJF ninaomba mnisaidie mana 2libishana sana na pia huwa nimeshasikia weng wakisema au ku2mia maneno haya kat ya MTU na BINADAMU lakn wanavyoyatumia inakuwa kama kunautofaut ninaomben msaada...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kama hili hulioni, macho yako yana kutu meliona mie jini, langamiza wetu watu zaidi ya subiani, kiziwi kupewa tutu jini hili jini gani, chano chake damu zetu?
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Jambo kubwa lililojiri Tanzania katika siku za hivi karibuni, ukiachia mauaji ya kusikitisha yaliyotokea mjini Arusha, ni Uamuzi wa Waziri Ngeleja kutangaza kuwa 'serikali' imeamua kuilipa Dowans...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wataalam wa lugha wanijuze tofauti ya Onesha na Onyesha hasa wakizingatia chanzo cha maneneo hayo na matumizi yake katika jamii
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Naomba kujuwa maana ya neno 'imani' na neno hili linatumika katika hali zipi?
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Nini maana ya fumbo, 'Hisia yangu ni kama ya mwanadamu mwanadamu, husonga wakati wa shida na wakati wa raha'
0 Reactions
0 Replies
3K Views
RUWAZA maana yake nini?
0 Reactions
2 Replies
28K Views
Nikikosea kuzungumza lugha ya Kiingereza sisikitiki wala kuona aibu. Lakini nikikosea kuzungumza kiswahili au lugha ya kabila langu kwa kuzaliwa natamani ardhi ipasuke na kunimeza kwa ajiri ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
jamani sisi wengine tumezaliwa enzi za mkapa hatukuwahi kupata bahati ya kusikia hotuba za kiiingereza za mwinyi wala nyerere,ningependa kujua kati ya hao wanne nani ni mkali wa kucheza na lugha...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Je ndugu zangu naomba kama kuna mtu anajua muarobaini unaitwaje
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Naombeni tofauti kati ya maneno yafuatayo: UDINI na DINI, maana imezuka tabia humu katika jukwaa mtu akiwa anatetea dini yake anaitwa MDINI. Wataalamu tufafanulieni
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Eibara ly'omwaka oguhya ni TONGANA. Nimbendela eilembe.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni sahihi kusema hivyo?
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Kuna watu ambao wamekuwa na udhaifu wa kuchanganya matamshi ya herufi kadhaa. Kwa Wamakonde M wao huitamka kama N (mathalan, mtu wao husema ntu) kuna wengine kwenye R wao huweka L na kinyume chake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom