Eibara ly'omwaka oguhya

Mutensa wakola muno! Oikalege,omwaka ogulikwija ninyija kuguruka ebira. Omwaka 2004 ninye nagwesire SHAABUKA. Onjune eproposal ezolayenda kantamu mara njakukuaknoleji. Tulihamo waitu!
 
Official language for JF is English and Kiswahili, plz let's follow rules.
 
Official language for JF is English and Kiswahili, plz let's follow rules.

Usishange hawa nshomile lugha yao kihaya ikawa one among the last language in Tanzania to die

Lugha nyingine ndo zinakufa kwa kasi . Nina wasi wasi na kizaramu nalugha za pwani zinakufa kwa kasi. Jukwaa la lugha waendelee kuruhusu watu waweze kuanzisha thread za makabila kuchochea utamaduni na asili yetu.
 
Eibara ly'omwaka oguhya = Mwaka 2011 utafahamika kwa jina la

Eibara ly'omwaka oguhya ni TONGANA = Mwaka 2011 utafahamika kwa jina la TONGANA

Nimbendela eilembe = Nawatakia Amani tele
 
Thanks Guys but for every one to understand translate it.

Ni kuwa Kanisa katoliki jimbo la Bukoba,Kagera wana utaratibu wa kubatiza Mwaka mpya jina jipya ambalo uendana na matukio na hali halisi ya wakati huo,Sasa kwa mwaka huu mpya tutakaonza muda mfupi ujao unaitwa TONGANA maana yake omba,samehee,bembeleza kwa mungu au jamaa yako nk

Pole pole hii lugha iunaweza kuwa na matumizi kwa tanzania baada ya kiingereza na kiswahili,wakutafsiri tupo kibao,AJIRA HIYO
 
Eibara ly'omwaka oguhya = Mwaka 2011 utafahamika kwa jina la

Eibara ly'omwaka oguhya ni TONGANA = Mwaka 2011 utafahamika kwa jina la TONGANA

Nimbendela eilembe = Nawatakia Amani tele

TONGANA maana yake nini
 
TONGANA = Tenda Mema
Umekosea mkulu, miaka mingi niliwahi kuishi Bukoba pia na kwa kile khaya kidogo nilichojifunza TONGANA ina maana nyingi labda, lakini literally maana yake halisi ni JITETEE. Ngoja nimuulize mke wangu anipe hakika ya neno hili maana kwetu Tunduru neno hili halipo.
 
Wakubwa nashukuru kwa michango yenu mizuri tu ikiwa ni pamoja na kuelezea maana ya maneno yaliyoandikwa pamoja na kufafanua historia fupi ya "kubatiza mwaka".
Kiufupi ni kuwa Tongana maana yake ni
- Jinyenyekeze
- Tubu
- Omba Msamaa
- Tetea
Na hii ndio hasa maana ya jina la mwaka mpya.
Hivyo tuzingatie hayo katika maisha yetu kwenye mwaka mpya 2011.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom