Tusaidiane hapa....

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,420
2,271
Photo0833.jpg
Ni sahihi kusema hivyo?
 
Ni sahihi kwa kiswahili cha wakenya, wazaire, warundi, na wazungu.
Si sahihi kwa kiswahili chetu.
 
tujenge uchumi wetu
Inategemea wanafocus nini, kama huo Uchumi Unahusu NCHI basi wako sahihi kwa maana ya Nchi ni yetu, na kama Uchumi ulioandikwa hapo unawahusu Watu basi sio sahihi kwani huwezi kusema Uchumi ni yetu. (vilevile kinyume chake pia)
 
uchumi ni supermarket....nadhani wanamaanisha wajenge supermarket yao
 
Baada ya hizi salaamu na Merry X-Mass tutaendele kuchangia Uchumi Yetu au ndo tushamaliza??? !!!!!!!
Ha ha ha! Tutaendelea, hapo tunapumzika kidogo na kikombe cha kahawa manaake uchambuzi huu wa Uchumi Yetu ni mgumu kidogo:)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom