Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
1. Abdalla, A., 1973. Ushairi wa Kiswahili na Uhuishwe Usiuliwe Zinduko. Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu. 2. Abdallah, A., 1977. Mashairi ya Miaka Kumi ya Azimio la Arusha UKUTA, Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
X-Paster hodi nakuja, Jinius sichukie, Tumaini kwako naja, Sadeeq unisikie, Hafif andaa hoja, MziziMkavu nisikie, Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula. Nauliza tangu zama, majibu sijayapata...
0 Reactions
71 Replies
10K Views
Hivi ni kweli hakuna maneno ya kiswahili au Kibantu ambayo yanaweza kutumika kulipunguzia mzigo neno "Mkuu"?, Hetu angalieni lilivyoelemewa: Prime Minister = Waziri Mkuu Permanent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau kati ya ''Academic Registration Information System''na ''Academic Information Registration System'' ipi ni sahihi zaidi kueleza mfumo wa kurekodi/ kuhifadhi taarifa/takwimu za kitaaluma za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukiyaonja mapenzi utaujuwa utamu Ndipo utapoyaenzi ukayaona adhimu Nakupenda Mwenye enzi Ilahi Mola Karimu Nisikupende kwa nini Nawe Umenikirimu Nisikupende kwa nini Ya Ilahi ya Karimu Nawe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kidole na Mdudu Yarabi nipe hamasa, waja niwape pazia Napata shauku sasa, mjengoni kuzungumzia Kupata yanayopasa, hakika siyo kazia Mdudu aumaye, upuuzi kumpa kidole Hebu tizameni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimekiwa nikiswahilisha baadhi ya programu na nikakumbana na maneno ambayo sikuweza kupata tafsiri kwa ajili ya matumizi ya kwenye kompyuta:- animate - give lifelike qualities to...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naanza yangu qauli Kwa jina lake Jalali Alomleta Rasuli Kuiongoa duniya 2 Reh'ema zake A'zizi Zishuke kwa Mwokozi Kipenzi chake Mwenyezi Na Aali zake jamiya 3 Na S'ahaba zake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania na wale wote mnaozungumza Kiswahili, Kwa mwaka wa pili sasa nimekuwa nikijushughulisha na kuswahilisha programu za kompyuta. Mwaka huu tunapenda kufanya programu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wajuzi wa lugha..naomba kufahamu neno KUCHAKACHUA linatokana na nini na maana yake ni nini.Miaka ya nyuma kulikuwa na bendi inapiga muziki kwa style ya "CHAKACHUA" - Je kuna uhusiano wowote na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
The World Cup and the credit crunch have all influenced the latest edition of the Oxford Dictionary of English. The vuvuzela, a horn instrument blown by football fans during the World...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau nimeonelea Jukwaa kulitembelea Chujio kulisemelea Wasione laelea Chujio litazame Lilivyo kifalme Ndo nikaona niseme Hadi niwe mkame Chujio lile la tui Kama ulikuwa hujui Chujio sio adui...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana, Hebu jamani tuache uharibifu wa lugha yetu maridhawa, Kiswahili. Ninayo mifano mingi ya uharibifu, lakini ngoja niwape hii michache. 1. Tangazo la Zain linasema "Ongea kwa Sh 1 masaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
je,mwnafunzi anaruhusiwa kuchora maua wakati anajibu swali la kadi ya mwaliko kwenye mtihani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mada nimeiona inamzungumzia mzee kidogo lugha imekwenda pembeni anyway kwetu kenya twawaita maimuna nkasema leo nije uliza watanzania katibuw enu maimuna?? kama ndie akiitwa nje shuguli za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana tulikuwa na boss mzungu mahala tunakula stori mara akaanza kutuuliza maana ya majina ya maeneo mfano Mwananyamala, wasahikaji wakawahi mtoto nyamaza na kumtafsiria kwa kingereza. Alipouliza...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ngoma hii ngoma gani, ngoma isiyo kelele Wanaicheza kwanini, pasipo vigelegele, Majasho yote ya nini, bila ngoma na kengele, Sichezi miye sichezi, ngoma isiyo kelele! Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A single drop does not make a rainfall. "WE ARE WHAT WE ARE AND WHERE WE ARE, BECAUSE OF OUR OWN ACTIONS"
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nitayasema haya, Bila kuyaonea haya, Tuuche umalaya, Utatupeleka kubaya. Viwili Mola aliumba, Kutimiza yake namba, Mme alipomuumba, Na mke pia akamuumba. Ni vipi wewe wataka, Tena tamaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu;neno lenyewe ni SOCIALIZATION Wakuu hapa jamvini naombeni msaada wenu iliniweze kumfahamu na kuwafahamisha wengine pia.
0 Reactions
4 Replies
16K Views
Back
Top Bottom