Mswahili Huyu Wangu Hataki Nitoke Ndani!



Marhabaa!



Pasteri marhaba,
Kawa ladha iso haiba
Umeleta tukashiba
Si nusu bali kibaba!

Marhaba Pasteri,
Uliyoleta mazuri,
Yamejaa umahiri
Na pia ya desturi!

Pasteri Marhaba
Nacheka kama kijeba
Pokea chako kiloba
Kilichojaa nasaba!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom