Hii ni sahihi kweli?!

Yusuph Salehe

Member
Nov 12, 2010
58
0
Hivi ni sahihi kumuita SECOND MISTRESS wakati kukiwa na HEAD MASTER. Ninavyojua second mistress ni msaidizi wa head master hivyo alitakiwa aitwe SECOND MASTER hata kama ni mwanamke. Nisaidieni kimawazo tafadhali
 
X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,638
1,250
Hivi ni sahihi kumuita SECOND MISTRESS wakati kukiwa na HEAD MASTER. Ninavyojua second mistress ni msaidizi wa head master hivyo alitakiwa aitwe SECOND MASTER hata kama ni mwanamke. Nisaidieni kimawazo tafadhali
Second Master ni cheo kinacho tumiwa na Royal Navy, vile vile kwenye masomo ya juu kuna Second Master's Degree (is any master's degree pursued after a first master's degree)

Kwa kawaida utumiwa maneno au vyeo hivi kwenye mambo ya kielimu: Deputy head teacher, Deputy headmaster or Deputy headmistress
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom