Msaada: Kiswahili cha "Development Finance"

Bavuvi

Member
Mar 1, 2008
41
95
Ndugu wana JF,
Tafsiri ya "Development Finance" kwa Kiswahili imenipa shida sana. Je ni Maendeleo ya Fedha au Fedha za Maendeleo, au nk.
Naomba msaada.

Wenu,
Bavuvi
 

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
0
It depends on the context but I think that Usimamizi wa Fedha za Maendeleo fits better, taking into account that Finance is more than money.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom