Napingana na msemo unaosema ''MASIKINI HAFILISIKI''i

Bongemzito

Senior Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
162
Points
0

Bongemzito

Senior Member
Joined Nov 5, 2010
162 0
Kuna baadhi ya misemo watu wanapenda kuizungumza na wengine kuiandika kwenye magari kwa nyuma kama ujumbe,mda mwingine kufurahisha watu au kuelimisha.

Ila msemo mmoja unasema kwamba ''MASIKINI HAFILISIKI''................mimi napingana sana na huo msemo maana kwa uelewa wangu ni kuwa masikini anafirisika na kuwa FUKARA..

Maana masikini ni yule ambaye anaishi chini ya dola moja kama ilivyokuwa wananchi wakiafrika ikiwemo tanzania yetu....Na Fukara ni yule ambaye hata hajui atakula nini na hana uwezo wa kupata kiwango hicho cha chini ya dola moja....

Sasa sijui wenzangu mnasemaje kuhusu suala ilo...nawasilisha hoja
 

Forum statistics

Threads 1,392,125
Members 528,544
Posts 34,099,456
Top