Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu, Ilikuwa mida ya saa 2 unusu sa 3, gari ya matangazo ilipita UDOM kuwaarifu kuwa kesho ndo siku yao, ghafla walipopita mabweni ya wasichana wakapewa salamu " wabakajiiiiiiiiiiiiiiiii"...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kumekuwepo na migomo karibu kila kinachoitwa chuo kikuu nchini Tanzania. Lakini cha kushangaza serikali inachukulia mzaha mzaha tu.... Bila hata kuangalia undani wa matatizo ya hawa vijana. Pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwanza napenda kuwapongeza wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanaopigania haki zao. nimefuraishwa na ujumbe wa mabango yao kwamba kama serikali ina mabilioni ya kulipa mafisadi wanakosaje fedha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa nikikerwa sana na tatizo la kuvuja kwa mitihani mashuleni, vyuoni n.k. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiria njia mmbadala kukomesha tatizo hili. Nadhani kutumia mfumo ambao nitauitwa "Open...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za uhakika tulizozipata usiku wa kuamkia leo ni kwamba wanachuo wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama wamefanikiwa kumngoa mkuu wa chuo hicho. Mkuu huyo aliyekuwa na kashfa mbali mbali...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wote naamini tunakumba kuwa mwezi uliopita Rais Kikwete alizindua mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari Awamu ya Pili. Mpango huu unapatikana katika tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maandamano kuelekea ikulu sasa yapo, mitaa ya bamaga. Wanafunzi wa ifm kuwasubiri kwa ham
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani chuo kikuu cha dr es salaam leo hapaeleweki, kwani maktaba imefungwa, watu kutoka hostel za mabibo wametembea kwa miguu mpaka hapa, na inasemekana kutakuwa na maandamano mpaka kwa rais...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa za kuaminikika toka chuo kikuu cha dsm ni kwamba kuna mgomo unaendelea ukiwa na maandamano kuzunguka maeneo ya chuo. Na wanafunzi wamejitokeza kwa wingi na kwa umoja wa ajabu huku wa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Takribani wiki kadhaa hivi tumesikia migomo ikifanyika ktk vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, kwa majina baadhi UDOM,MKWAWA,DUCE,TUMAIN-IRINGA & DAR, na bila kusahau huko ARUSHA na MOSHI. Kwa kipindi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
An expert has claimed to have unravelled the mystery behind the world-famous Mona Lisa painting - saying the model was a man and Leonardo da Vinci's lover. Artist da Vinci has proved an endless...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu, wale waliokuwa Sengerema Secondary miaka ya 1995-1997,mnakumbuka misemo hii: Chaka-sehemu ya kujisaidia kichakani. Pia mnakumbuka mwalimu katendele, alikuwa anapenda sana kuku. Mnakumbuka...
0 Reactions
14 Replies
30K Views
Nasa's planet-hunting telescope is finding whole new worlds of possibilities in the search for alien life. An early report from a cosmic census indicates that relatively small planets and stable...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Shule binafsi hawana hoja-NECTA Na Mwandishi Wetu BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema kuwa madai ya Chama cha wamiliki na mameneja wa shule na vyuo visivyo vya serikali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aulizaye ataka kujua, Hivi kuna wanaJF waliosoma Ihungo? Mie nilisoma mwanzono mwa miaka ya 1980. Nakumbuka yafuatayo: 1. Ile njia ya Japan inayotokea Kashai? 2. Ule Mti wa Balaa kama unaenda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Matokeo yalyotangazwa na baraza la mithihani yanaonekana kuamsha hisia kama si hasira kwa makundi mbali mbali ya jamii. Hisia hizo ni kwasababu kuu mbili, kwanza wingi wa wanafunzi waliofeli na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kunidadafulia hili swali ndugu zangu wenye uelewa katika sheria; 'The law on sale of goods in Tanzania is outdated because it is based on Common Law principles which in most...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie kunidadafulia hili swali ndugu zangu wenye uelewa katika sheria; 'The law on sale of goods in Tanzania is outdated because it is based on Common Law principles which in most...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba nikukumbushe umeupokea mkoa huu kutoka kwa mama mafole ulikuwa unashika nafasi tano za juu kitaifa. Lkn baada ya wewe kuupokea na kuingiza madudu yako ( uzinzi, ubabe, ubabaishaji, ukabila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Serikali kutafuta njia mbadala kushindwa kwa shule za kata na Victor Masangu, Bagamoyo SERIKALI imesema kwamba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom