Elimu ya Kamanda Huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya Kamanda Huyu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kichuguu, Feb 19, 2011.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Nimepata bahati ya kufuatilia matamshi ya General Shimbo katika nyakati tofauti ukianzia lile tamko la wakati wa uchaguzi, na hili la leo kuhusu makazi ya wanajeshi. Kadri ninavyofuatilia matamko yake nimefikia hatua ya kujiuliza kama kweli Kamanda huyu ana chembe ya elimu. Matamko yake yako kama vile yanatolewa na mtu aliyeona milango ya shule kwa mbali sana katika dunia ya leo hii.

  Je kuna mwenye kujua upeo wa elimu ya Kamanda Shimbo?
   
 2. j

  just in time Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr mwinyi ni dr wa nini jamani? Naomaba kujua................
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Nadhani ni MD, ila hajawahi kuandika prescription hata moja na hivyo hajawahi kuingia theater bila mwalimu; alimaliza shule tu na kupewa wizara.
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Is a medical doctor, full stop. Swali jingine?
   
 5. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Dr.Mwinyi ni daktari hasa wa binadamu.
   
 6. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  turudi kwenye suala la msingi elimu ya General Shimbo, mwenye details amwage mzigo.
   
Loading...