Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nakumbuka wanafunzi wa UDSM kupitia DARUSO walitoa waraka wa kupinga uanzishwaji wa bodi ya mikopo. Ni chuo pekee kilichopinga kuanzishwa kwa HESLB,walipingwa na serikali pamoja na vyuo binafsi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba nijue Elimu Ya Rais wa pili wa Tanzania
0 Reactions
15 Replies
3K Views
OFFICE OF THE DEPUTY VICE CHANCELLOR (ACADEMIC) TO: ALL STUDENTS FROM: DVC (ACADEMIC) DATE: 10th November 2009 SUBJECT: REGISTRATIONS FOR JAN/FEB 2010 EXAMINATIONS Main Tests, Special Tests...
0 Reactions
2 Replies
14K Views
Jamani tukumbukane wale tuliopitia MATI NYEGEZI katika kozi ya CALP 91.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nawapenda nyoteeeeeee wana JF nilikuwa naomba kusaidiwa je nivituo gani vizuri ambavyo naweza kumpeleka mdg wangu akasome kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja? namaanisha kituo ambacho hakina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tbc wameonyesha watoto wa shule ya msingi luiche kigoma wanasoma wakiwa wamekaa chini kwenye vumbi wamepanga mawe yaani magoti yana sugu hawana ubao madarasa ya nyasi hakuna paa wabunge wao wako...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Utumishi....:thinking: http://www.utumishi.go.tz/govtdirectory/200902270026000.TZ%20Advert.pdf
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Baada ya wanafunzi wa UDSM kuandamana na kutaka waengezewe posho, kibonde atoa mbofumbofu katika kipindi cha jahazi kwenye CLOUDS FM. kwa kuwaambia wanafunzi kuwa wanadai pesa wakati wanavitu vya...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
WanaJF naomba kama kuna wadau wanaojua ni lini wanafunzi waliomaliza form four 2010 wanachaguliwa kwenda form five anijulishe tafadhali kupitia humu jamvini. Kuna watoto wetu wanasubiri tukio hilo!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
s1803 lowassa secondary school <h3>div-i = 3 div-ii = 6 div-iii = 9 div-iv = 81 fld = 76 s3489 sumaye secondary school <h3>div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 3 div-iv = 26 fld = 37...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nawapongeza sana udsm kwa kuwa source ya mabadiliko, ila nashangaa kwanini vyuo vingie vipo kimya? Muhi2, kcmc, bugando, saut, tumaini inamaana ninyi hela inatosha? Au rice cooker zinawadanganya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tafakuri NILIKUWA miongoni mwa watu waliohoji sababu za msingi za Dk. Shukuru Kawambwa kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alipoteuliwa mwaka jana baada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Alhamisi Februari 10, 2011 Makala Mfumo wa elimu ya sekondari unahitaji mageuzi makubwa Imeandikwa na Neophitius Kyaruzi; Tarehe: 9th...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Bado nipo na nyie wanafunzi wa elimu ya juu. Kumbukeni ya kuwa ninyi ndio chachu ya mabadiliko yoyote ndani ya nchi. Hivi kwanini msianzishe maandamano kuhusu hali mbaya ya uchumi kama vile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni jambo la kawaida kwa jamii ya kizazi hiki kumzomea kiongozi anayetoa hoja ambazo hazina mshiko na kujaa pumba kwao. Hivi karibuni kiongozi, na mshika bango la elimu aliipata homa ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna zawadi za valentine unazoweza kuwapa wanafuzi walimu au mtu yeyote yule. Zina mafundisho na ni znuri sana Download hizi video then ziburn kwenye DVD then wape zawadi. uwapendao. 1The...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chuo Kikuu kipya kuiinua Tabora Imeandikwa na Lucas Raphael, Tabora; Tarehe: 9th February 2011 @ 23:59 JANUARI 16 mwaka huu ni siku ya kukumbukwa katika mkoa wa Tabora, kutokana na mkoa huo...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Bunge kuelezwa sababu za matokeo mabaya 'form 4' Imeandikwa na Oscar Mbuza, Dodoma; Tarehe: 10th February 2011 @ 08:40 BAADA ya kushitushwa na matokeo mabaya ya kidato cha nne yaliyotangazwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hivi hii migomo siku hizi hadi shule za sekondari, na nahisi hadi za msingi zitafuata, maana yake serikali imechoka kusikiriza wananchi wake au haki haipatikani mpaka kugoma? Mbona zamani haikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom