Hivi walimu tunaelewa haki zetu au hatuelelewi? Maana walimu tuko kimya sana. Na hawa jamaa zetu wa cwt hawaeleweki! Sijui kama wenzangu mnawaelewa!. Hivi mshahara wa mwalimu aliyemaliza digree...
Members wa JF wenye ndugu na Marafiki wanaosoma CBE Dodoma... Wataadharisheni wanachuo wasomao hapo kuwa FFU wapo tayari in FULL GEAR wakijiaandaa ku-attack... nawasilisha...
Salaam Great Thinkers,
Graduate wa IT level ya Degree. Nimeshafanya kazi kwa miaka 4 sasa kwenye field ya IT. Nataka kuongeza Elimu (Masters Level).
Sababu.
1. Nimeona nina interest na...
Mkazi mmoja wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Erest Khamis (45), anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kushiriki kumuua baba yake mzazi wakimtuhumu kuzuia mvua kunyesha mkoani humo...
Kwa muda nimekuwa nasoma majadiliano yanayohusu umuhimu wa elimu katika maisha ya jamii hasa ya Tanzania. Wengi wamechangia midahalo kama hiyo japokuwa kila kitu kinageuzwa kuwa ni swala la...
Katika chuo kikuu cha Dodoma jambo la kushangaza ni uongozi wa juu umeamua kublock SSID UDOM FACEBOOK. Kwani kila unapotaka kufungua Facebook inakataa na kwa jambo hilo limeleta utata na wanafunzi...
wana jf natafuta kitabu cha kikristo kinachoitwa neema yangu yatosha kilichoandikwa na Ghulam Masih Naaman,mwanzo alikiandika kwa kingereza halafu kikatafsiriwa kwa kiswahili,ni cha mwaka 1997,pia...
Siku izi ukitaka kujiunga na elimu ya juu, vyeti vyako vinatakiwa vikakaguliwe mahakamani kama ni feki au original. Yaani unampelekea hakimu ambeye awekaa kwenye dawati, hana database wala komputa...
wana jf natamani sana kujua majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu 2011 wanatoa lini na kwa njia ipi
tafadhali mwenye data atujuze
THE LONG-AWAITED KIFUNGILO REUNION IS HERE!!!!!
Dear ladies, Kifungilo Alumnae,
Can you believe it's been so long? But the memories are still as fresh as ever…
We all acknowledge...
Le wanafunzi wa BACHELOR mwaka wa kwanza wa pili na wa tatu wameshindwa kuanza mitihani ya kumaliza semister baadaya walimu kugoma kwa sababu wanadai mishahara pamoja na marupuru yao ya miezi mitatu
Jamani naombeni mnisaidie swali langu ni kwamba ; hivi combination ya HKL ina jihusisha na maswala gani? iwapo ukifika chuo kikuu? naombeni msaada wenu
JAMANI KUNA NAFASI ZA MASOMO HAPA NI NYINGI INAKUA NGUMU KUZIANDIKA
ZOTE INA KWA NCHI ZINAZOENDELEA TANZANIA NI MOJA WAPO
NYINGI NI MASTERS JARIBU KUONA NINATUMAINI KUNA
MTU ZITAMSAIDIA SIO...
nimekua nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana, na pia niwewahi kuwauliza watu mbali mbali wanaonizunguka ninapoishi, wengine husema udaktari, wengine engineering, law, ualimu n.k...
Je wewe...
JAMANI NILIANGALIA CHANNEL 10 ASUBUHI MNA TAARIFA KJUNA CHUO KIKUU KINAANZISHWA KIPYA JINA NI KAMA NILIVYOTAJA HAPO JUU CHINI YA LHRC
Baraza la wadhamini linaongozwa na Askofu Sendoro
Makamu mkuu...
Kama kuna mtu yeyote ambaye ameona tangazo la mwaka huu 2011 kutoka wizara ya elimu na mafunzo kutangaza nafasi za wanaotaka kujiunga na masomo ya ualimu katika ualimu ngazi ya cheti katika vyuo...
Wanafunzi wa darasa la pili na tatu wa shule ya Msingi Magwalasi katika Kata ya Rujewa, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya wakiwa darasani wakiendelea na masomo kutokana na uhaba wa vyumba vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.