Secondary Dar yenye shida na mwl. wa maths initafute niwasaidie kwa gharama nafuu

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Nimesikia kuwa kuna wanafunzi wamefikia uamuzi wa kuchangishana na kukodi waalimu kwa ajiri ya kujiokoa na kufeli. Mimi niko tayari kusaidia kufundisha masomo kama Maths, physics n.k. kwa O'level kwa kuanzia na baadaye naweza kufundisha A'level kama ntapata muda wa kutosha.

Naomba kama kwa Dar es salaam kuna shule ina tatizo ktk masomo hayo na wanaweza japo kulipa kidogo basi tuwasiliane. Wanitumie private message hapa JF.
 
infact nipo tayari kutoa msaada wa kufundisha any science subject from form 2 to form 6 but should be in DSM kwa evening sessions baada ya masaa ya kazi and jumamosi.

lazima wachangie hela ya fuel kwa gari yangu please. if interested PM kwangu
 
Back
Top Bottom