Kuna elimu ktk mazingira haya???????????????/ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna elimu ktk mazingira haya???????????????/

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sinai, Feb 25, 2011.

 1. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani Watanzania wenzangu, kwa takribani wiki mbili sasa nipo kwenye data collection(field) ktk shule mbalimbali za msingi mkoani wa Dodoma! Kuna mambo yameniacha hoi, ktk shule 12 nilizotembelea kutoka kata mbalimbali, shule 2 zinajumla ya madawati 16 kila moja na wanafunzi zaidi 400 kwa kila shule.Shule zingine 6 kwa ujumla zinawastani wa madawati 32 kila moja na wanafunzi 470 kila moja, na zinazobzki zina tatizo pia la madawati!

  Hoja hapa ni je, ktk mazingira haya ya wanafunzi 400 na madawati 12, wanafunzi wa shule za msingi wanapata elimu bora hapo? wenye nguvu ndio wanaokaa kwenye madawati na wale wanyonge hukaa kwenye vumbi kwani madarasa hayana sakafua kabisaa! Je Watanzania tutapata elimu bora hapo?
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Ccm zaidi ya uijuavyo
   
 3. F

  Fenento JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ndo hivyo, basi tumekwisha watanzania. Endelea kutuhabarisha na tunakutakia kazi njema Mkuu..........
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Halafu dodoma si ndo jk alishinda kwa kishindo wacha wakome! Wanalizika na udom tuu!
   
 5. M

  Matarese JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  sasa mkubwa wewe unasema dodoma, hujaona hata shule za dsm wanafunzi wanakaa sakafuni tena kwenye vumbi kwa ukosefu wa madawati?
  zilishawekwa hapa jamvini muda mrefu uliopita. hiyo ni dar sembuse dom!
   
 6. n

  ndume Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ujue viongozi wa serikali hasa wahusika hawajali elimu ya Tz na ndio maana watoto wao wanawapeleka International school.Dawa ya hii ni mapinduzi hasa
  Sio hapo tu shule za sekondari matokeo mabovu,viongozi wana kazi ya kujenga majengo walimu na vitendea kazi hakuna.Kifupi elimu ya Tz inaharibiwa na siasa.
   
 7. I

  Ilonza Senior Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau kweli inatia huruma kama ndo hivo hamna haja ya kujenga vibanda vya kuku na kuviita madarasa. Hiv kweli serikari ipo hau? Imeniuma sana lakini i blieve iki chama kinacho kumbatia udharimu hiposik kitakuwa kama misri. Remember what comes around goes around.nakutakia kazi njema kaka ktk tfti yako hapa dom wenda ukawa mkombozi wa wanyonge hao hapo badae.
   
Loading...