Mwalimu wa MATHS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa MATHS

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Enny, Feb 14, 2011.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Natafuta mwalimu wa Basic Mathematics wa tuition kwa mtoto wangu wa form one wakati wa likizo mwezi wa nne.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ukisha mpata huyo mwalimu mwambie na mimi nawatafuta walimu kuna kitu tunatakiwa tufanye kwa manufaa ya elimu yetu.

  wakati unatafuta mwalimu angaliwa uwezekano wa kudowload CD au DVD za movie za masomo.

  So intsead ya kuwa anaangalia movie za kanumba mara tatu kwa wiki anaweza kuwwa anacheki movie ya algebra mara moja kwa wiki. then kanumba mara mbili kwa wiki

  Tutafute jinsi ya kuanzisha Video library za masomo. Hapa nina DVD za masomo kibao .

  hata hapa kwenye jukwaa la elimu Kuna watu wametoa linka za masomo mbali mbali yaliyo online kwa video . Inabidi tuwasiaide walimu wayapakue kwenye DVD ili iwe rahisi.
   
 3. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mitaa ya Mwenge nyuma ya Nakiete Pharmacy kuna kijiwe kinaitwa MAPAMBANO.......kuna vijana wajasiliamali wanasaidia sana kutoa shule hapo!
   
 4. Matti

  Matti Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  upo mkoa gani?
   
 5. Matti

  Matti Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15

  utakuwa umetusaidia sana. mi ni mwl wa Maths. natafuta sana hizo dvd. help me plz. nipo Arusha.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  sawa mfano unataka video ya topic gani?
   
 7. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  naomba contact zako tafadhari
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  contact zangu ndio hizi hizi ila tunaweza kuelekezana hapa hapa taratibu .

  Kama una internet unlimited hata wewe unaeza kudowload hizi video. Nitakuelekeza hatu kwa hatua.

  Mradi tu uwe bandwidth ya kutosha. kama ni bandwidth ya ofisi u have nothing to woorry
   
 9. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  okay nielekeze basi
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwanza download naisntall bittorent

  Hii ni prgram utakayotumia kudownload hizo material. Uzuri wake ni kuwa hata network ikikata au kompyuta kuzima ukiwasha tena inaendelea kudowload pale ulipoishia Video za hesabu topi zote size yake ni 67 GB but unaweza kudowload topic moja moja.

  Sasa kwanza f uata hii link na uchukue Get BitTorrent | BitTorrent

  Then install hiyo program ya bittorroent . Ukimaliza nijulishe tuanze kupakua
   
 11. K

  Kosmio Senior Member

  #11
  Feb 15, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tayari nimedownload BitTorrent.
   
 12. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Km upo Dar, nitumie PM nijue jinsi ya kukusaidia.
   
 13. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umewaza jambo zuri sana, dada, wakati mwanao angali kidato cha kwanza, tena muhula wa kwanza.
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kama umeshadowload na kuinstall sasa fungua hii link
  Math Tutor DVD Complete Collection (download torrent) - TPB

  Then click sehemu imeadikwa download this torrent.

  In case computer ikiuliza unataka kudownlaod kwa program gani chagua Bittoren. Sometime pc inakuletea kiwosnod open with

  Chagua bittorent.


  Itakuja window ambayo ina mafolder ya topic kibao.. Sasa kwa kuwa file ni kubwa sana chagua folder moja kila siku au kama network yako ni slow ndani ya folder kuna visubtopic unaweza kucgaua visubtopic viwili viwili mpaka unakamli.

  Mfano .
  Hakisha folder unalotaka kudowloda lina tick au alama ya vema na mengine hayana. Kwa kuanza unaweza kuchagua folder la

  Math tutor DVD basic math.
  hili size yake ni 2GB na lina subtopi karibu 30

  Ukimaliza nunua DVD kama una software ya kuburn hapo nitakuelekeza namna ya kufanya ili file liwe autoplay hata ukilicheza kwenye DVD player ya TV

  Kama huna software ya DVD peleka kwenye internet cafe wauwekee hilo file kwenye DVD.

  Then unaendela mpaka una maliza Topic zote 24 za hesabu. ukikwama au tatizo lolote uliza uliza.

  Zipo Pia video za physics, chemistry etc
   
 15. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Jaribu kuongea na huyu kwa namba hii: 0784969266. The guy is good and honest!
   
 16. Matti

  Matti Member

  #16
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15

  Vector na Three dimension.
   
 17. rifwima

  rifwima JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kwani huyo mtoto wako wa kike au wa kiume....whatever, tafadhari nakushauri asisome peke yake......Katika ualimu na masomo ya kijamii....it is technically adviced based on the constrctivism theory of learning that social interactions among students create effective learning and students manage to find the meaningful learning of the authentic tasks. kama unampenda mtoto wako sasa.....please acha ajichanganye na wenzake uko mapambano n.k. Jambo la msingi kama mzazi, muelekeze what are good and wrongs.
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Fanya hivi unajua sijacheki kila topic ina subtopic gani. Sijui hiyo vector na 3 D inaagukia wapi

  Donwload bittootrent akam nilivyombwambia mwenzako. Na link nimempa pale juu

  Fuata hii link Math Tutor DVD Complete Collection (download torrent) - TPB

  clikc download this link . Hilo ni file kubwa sana 67GB sasa kwa kua unataka vector jaribu kucheki ndani ya kila topic kuna subotop ganic. sijui kama mambo ya geomnetry yanaingiliana na vector. Jaribu kucheki ni topic ipi sahihi Utakayoona inakufaa ndiyo unaicha na alama ya vema ili udownload hiyo peke yake. Ukitaka kudownload DVD nzima kama netwok yako ni slow inaweza kukuchukua hata siku nne . SO nakushaurichagua topic kwa topic

  Pia nimenagalia video ya ya maths tutor physics 1 newtonina motion niliona kama ina maelezo mazuri ya vector. na dimension.

  Good luck ukikwama nijulishe. Maelezo mengine soma nilichomuelekeza enny sijui kafanikiwa au la.
   
 19. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mapambano sehemu gani?
   
 20. l

  lughombe New Member

  #20
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :rain: Anayehitaji mwalimu wa mathematics wakati wa likizo ya mwanaye. Awasiliane na mimi,
  Mwl. H.Pwele .Mobile No. 0768927008 or 0714394560
   
Loading...