Ubora wa elimu open university tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubora wa elimu open university tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mary Chuwa, Feb 28, 2011.

 1. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naombeni maelezo ya ubora wa elimu kutoka open university Tanzania ngazi ya uzamili tafadhali.
   
 2. k

  kajembe JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 756
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kwanza unataka kufanya Masters ya nini? ninavyojua mimi kama ni MBA waalimu wanaofundisha karibia wote ni wa UDSM,kuna LLM in IT and Telecom inatolewa na Chuo cha UK na waalimu wao huwa wanakuja kufundisha,otherwise Open in wataalamu walio bobea wengi tu na nikama extension ya chuo kikuu cha Dar. najaribu kukupa mwanga na kukuondoa wasiwasi na pia kumbuka kuingia open university ni rahisi kuliko kutoka
   
Loading...