Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani wadau naombeni mnisaidie maana kila nikijaza details zangu wakati na-apply tcu mwishoni ninapobofya kwenye register inaniambia " mobile number2 must contain a number' sasa sielewi ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanini shule zinazowapa kipaumbele walimu kutoka kenya,uganda zinadolora au kashifaa zakuiba mtihani?kwamfano zilizowahi jiji la DAR
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamii habar yenu. Wadau nalisikia hili facult la electronics and telecommunication eng ni ngumu, naombeni ushauri na ugumu uliopo linahitaji mtu wanamna gan! Je mtu kama mm nisiyependa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana jf naombeni ushauri wenu, kama inavyo onekena hapo juu yaani Gs-S,Geog-D,Phy-E na Math-D. naomba mnishauri ni course gani naweza kuchukua kwa matokeo haya. NB:- O-level chemistry sikufanyia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Taarifa za chini kutoka kwenye uongozi wa chuo zinasema kuwa hadi sasa hakuna fedha yoyote kutoka HESLB, hivyo kutokana na ungozi wa chuo kuona matatizo waliyo nayo wanafunzi hasa ukosefu wa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Asalam aleykum wana jf wote, Leo naomba kuja na hili japo kuwa ni baya lakin tulijadili tu labda litatupa nafasi wengine ya kujua tujipange vipi katka maisha. Nimekuwa nawaza sana juu ya elim ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Home About Us University System Universities Corner Students Corner CAS Information Centre Photo Gallery Contact Us FAQ Welcome to Tanzania Commission for Universities (TCU) website The Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni kwa kipindi sasa naona mijadala ya vyuo imekuwa ikishamiri humu jukwaani.Baadhi ya watu wamekuwa wakichangia upumbavu tu ingawa wanajiita wasomi,mara wanajisifiasifia wanapopatia elimu zao na...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
jamani nimepata F zote yaani nna zero ya 21 nifanyeje? Nilikuwa nachukua HKL
0 Reactions
25 Replies
5K Views
1 University of Cape Town South Africa 2 Universiteit Stellenbosch South Africa 3 Cairo University Egypt 4 University of Pretoria South Africa 5 University of the Witwatersrand South Africa 6...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Asante yangu nitaitoa kwa atakayenisaidia jambo hili: Download kitabu hiki Biological Science (Scott Freeman) 3rd au 4th edition na unitumie kwenye email yangu ambayo nitakupatia kupitia PM...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepanda gar na binti mmoja mwanafunzi, amevaa uniform, kwemye mfuko wa blouse yake kuna nembo yenye 'school motto' EDUCATION IS A WAR. Je, ni sahihi kuwaaminisha vijana/watoto wetu kuwa elimu ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Attached document ni tangazo kutoka kwa mkuu wa shule ya nkomang'ombe, hata kama ni ufisadi this is too much, je tutafika?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
gazeti la majira....la leo tarehe 25-5-2012.....limeripoti kuwa ngono nje nje na ukahaba.....kwa wanafunzi wa kike wa chuo kikuu cha udsm ya kwamba wanafunzi wengi wa kike.....wamejiingiza katika...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba kama kama kuna mtu mwenye contacts za mwandishi wa vitabu na makala Yusuf Halimoja anisaidie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kweli kwamba kwa sasa shule nyingi zimefuta adhabu ya viboko Mashuleni na nikweli kwamba hata mwanafunzi akikosa ni nadra sana kuona mwalimu anachukua kiboko kumpiga. Zaidi ya hilo kelele...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salama wandugu, kuna kitu nimegundua katika kipindi kama cha miaka kumi sasa kufanya MBA imekuwa ni FASHION. Nimetumia neno fashion kwa vile kuwa nayo inaonekana kama vile umekuwa wa kisasa zaidi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana Jukwaa la Elimu: KWA NINI UJIUNGE NA MUGEREZI SPATIAL TECHNOLOGIES (MUST COLLEGE) Kila mtu anataka na anatamani kufanikiwa. Kijana aliyemaliza elimu ya sekondari na ambaye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani wana Jf natumai wote ni wazima wa Afya Kaka na Dada zangu. Naomba nisaidieni kunijulisha procedure zote Mpaka stage ya Kupeleka EMS Ahsanten
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia utaratibu unaotumiwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) katika kudahili wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo vya elimu ya juu na pia utaratibu unaotumiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom