Nimepanda gar na binti mmoja mwanafunzi, amevaa uniform, kwemye mfuko wa blouse yake kuna nembo yenye 'school motto' EDUCATION IS A WAR. Je, ni sahihi kuwaaminisha vijana/watoto wetu kuwa elimu ni vita?
yaan mimi nakubaliana nahuu msemo kabisa. nafikir unajua kuwa dhana nzima ya ellimu ni either ushinde au ushindwe, istoshe mtu akienda kwenye mchezo hapewi taji hata ameshindana kwa halali. so kwa wanafunzi mpaka wameshinda kwa halai ndipo watapata taji. hii ni vita na yawapasa kupigana.
wapigane na mafataki.........
wapigane na umeme wa shida...............
wapigane na nyanga ngumu, na nyingi..................
wapigane na makonda na madereva................
wapigane na hali mbaya ya kiuchum ya familia................
wapigane na foolish age...........
wapigane na ujinga...............
that is Tz education nobody cares.
To me it still ambiguos! war against what?? Nadhani angefafanua kidogo ingeleta maana nzuri zaidi..... Kama hiyo ni sahihi je mwingine akisema Education is a key to sucess ni yupi atakuwa sahihi? Je statement zinafanana?? au ndo yale ya kuita watoto Masumbuko, Mkashida, Tabu, halafu wanarithi majina hayo??