Ni- Pm nikupe muda wa mangezi kwenye simu yako!

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,237
9,871
Asante yangu nitaitoa kwa atakayenisaidia jambo hili: Download kitabu hiki Biological Science (Scott Freeman) 3rd au 4th edition na unitumie kwenye email yangu ambayo nitakupatia kupitia PM. Nimejaribu kukitafuta nimeshindwa....uzoefu wangu wa ma-torrents ni mdogo. Natangulisha shukrani.
 
Sasa hii ni rushwa au takrima! Alafu, we dogo uwe unapiga hodi kwanza; utadhani umefukuzwa na mbwa!
 
Jamani kwenye masoftware ya kurekodi muziki mbona ni wepesi kusaidia, kitabu ndio mnashindwa kunisaidia? Kutoa ni moyo...
 
Hapa tz hakuna kitabu hiki. Kamam unafahamu duka kinapouzwa naomba unifahamishe.

unasema kweli mbona mimi nafundishia BS 3ed, sina hakika shule ilikipata duka gani but kama uko dar nenda kwenye bookshops za wahindi mitaa ya upanga unaweza kupata
 
Back
Top Bottom