Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kufuatia vuguvugu la migomo katika vyuo vikuu, na sababu kubwa ikiwa ni watu kukosa mikopo, au walopata kucheleweshewa fedha za kujikimu, serikali iliunda tume ya kuchunguza matatizo ya sekta ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo katika chuo kikuu cha st.Augustine kulikuwa na final ya kombe la FAWASCO ambapo nilishangaa watu wote wanashangilia kwa kunyoosha vidole viwili juu muda wote hakuna hata mmoja alienda kinyume...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wana JF... Kuna hii shule inaitwa Brain Trust Secondary School, P.O.Box 46152 Tel 0754574728 Dar. Hii shule imeamua kuwatesa watanzania kwa kuamua kubadili mkataba ghafla tofauti na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF naomba msaada wenu. Kuna ndugu yangu amenipa taarifa jioni hii, akitaka nimsaidie kuomwombea chuo TCU na mkopo HESLB, yeye yupo kijijini mbali sana. Changamoto kubwa inayonikabili ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni ajabu na kweli, mpaka sasa hata majina ya kusaini hayajatoka! Tarehe iliyotakiwa pesa ziwe tayari ni tar.3 may! Mpaka sasa kuna siku 17 zaidi! Hakuna taarifa zozote za pesa hiyo ya kujikimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu mliosoma Makoko Seminari (St. Pius X Seminary) ya Musoma naomba tukumbushane machache kuhusu shule yetu pendwa. Enzi za Brother Brendan ( alikuwa akiwaambia Form II wawafundishe Form I...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
salaam! naomba kwa yeyote ambaye ana softcopy ya financial management by KHAN thanks in advance
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati wa kuomba kujiunga na vyuo, nikiweka first choice nikawa sijapata, inakuwa na athali gani kwa choice zingine ambazo zinafuatia. Kwa mfano, nimeweka MUHAS first choice nikawa sikupata kwa...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Nimemaliza six mwaka huu wana jf naombeni ushauri katika kozi hii ya public Admistration ambayo ningependa kuisoma mzumbe unversity, ila mbali na hapo huwa nasikia kozi hii watu wanachukua km...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Wakuu naomba mnijuze tofaut kati ya B's in architecture na B's in LANDSCAPE architecture !!! Thanks
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hello mimi nimwanafunzi wa kidato cha tano same boys high school natafuta wanafunzi walio tayari kusoma history kupitia internet kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia valencevictor@ymail.com thanks
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Guys,cjui nfanye nini coz nina 3.16 ya HKL-(ees)lakin nina F ya GS.Hapo ndo pananichanganya maana nilipenda kusomea LAW au MASS COMMUNICATION,lakini cjui cha kufanya naomba ushauri.je,nkifanya...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Kuna baadhi ya walimu shule ya sekondari Kahororo iliyopo Bukoba-Kagera wamekuwa wakidhalilisha taaluma zao kwa kujikombakomba kwa Afisa Elimu kwa kuvujisha siri za shule na mienendo ya walimu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu mkuu wa shule ya sekondari Rwamishenye amekuwa kikwazo cha maendeleo ya michezo kwa wanafunzi hapa Kagera.Mfano mzuri mwaka huu kwa makusudi amezuia shule yake kushiriki mashindano ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya walimu shule ya sekondari Kahororo iliyopo Bukoba-Bukoba wamekuwa wakidhalilisha taaluma zao kwa kujikombakomba kwa Afisa Elimu kwa kuvujisha siri za shule na mienendo ya walimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma,Profesa Kikula,ameahidi kukifunga chuo ikifika tarehe hiyo bila bodi ya mikopo kutuma hela za chakula.Wanafunzi Udom walitakiwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
EAST AFRICA HERALD: UK aid for education in east Africa is failing 'Like' us on facebook for more exclusive content!
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Kama ningekuwa na uwezo wa kushawishi, ningeishawishi serikali iingize kozi ya maandishi ya Shaaban Robert katika mtaala wa o level na A level ili vijana wafahamu namna gani SR aliweza kuuona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inasemekana kuwa Watu toka Nchi Fiji asili yao ni Tanganyika!Walikuwa wakiambiwa na Mababu zao kuwa asili yao ni Tanganyika!Nimejaribu kuongea na wenyeji wahuko kupata ukweli na wakanithibitisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KATIKA MAZINGIRA YA KUSHANGAZA WALIMU WA WILAYA YA BAHI WAPATAO 25 WAMEFANYISHWA KAZI YA KUSAHIHISHA MITIHANI YA MOCK WILAYA KWA UJIRA WA SH.5000 KWA SIKU KWA MDSA WA SIKU TANO NA HATIMAYE KUOMBWA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom