NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 590
wana jf naombeni ushauri wenu, kama inavyo onekena hapo juu yaani Gs-S,Geog-D,Phy-E na Math-D. naomba mnishauri ni course gani naweza kuchukua kwa matokeo haya.
NB:- O-level chemistry sikufanyia mtihani kutokana na sababu flaniflani. NTASHUKURU KWA MAWAZO NA USHAURI WENU.
NB:- O-level chemistry sikufanyia mtihani kutokana na sababu flaniflani. NTASHUKURU KWA MAWAZO NA USHAURI WENU.