Hatutafika kamwe! Serikali inasema, udahili wa wanafunzi wa darasa la saba ni 97%. Takribani wote wanahitimu bila ya kujua kusoma na kuandika. Ukombozi wa kweli hautofikiwa ikiwa kama Taifa linaua vipaji vya watoto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.