wanafunziwa kike udsm....wahusiswa na ukahaba na uchangudoa na kujiuza baa

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
gazeti la majira....la leo tarehe 25-5-2012.....limeripoti kuwa ngono nje nje na ukahaba.....kwa wanafunzi wa
kike wa chuo kikuu cha udsm ya kwamba wanafunzi wengi wa kike.....wamejiingiza katika soko la kujiuza miili
yao....na hii ni kutokana na wengi kukosa mikopo....na fedha ya kujikimu na .............utafiti huu uliofanywa na

majira wanafunzi hawa hujiuza maeneo moja ni baa maruufu ambazo ni moja ipo maeneo,,,.....moja ni baa moja ya chuoni hapohapo,nyingine ipo mabibo,nyingine ipo upanga........ambazo hakupenda kuzitaja majina.....ila alisema maeneo wanapopatikana


source majira
 
kama wenye mkopo tu wanaishi kwa taabu, hao no loan unahisi wataishi vipi? serikali imekataa kuwekeza kwenye elimu kwa hiyo mambo kama hayo yatakuwepo sana.
 
aise leo mida ya jioni nitajisogeza pande hizo..ila hawa si ndio waliichagua ccm ? Dr Slaa aliwaambia kuwa watasoma bure kwani rasilimali zipi ila hazigawanywi sawa ..wakampigia kura JK ..sasa yamewakuta ..ila wale wa dodoma sijui kama watarudia tena
 
Kwa hali ilivyo dada zetu wanaathirika sana kutokana na matumizi makali ukilinganisha na kaka zetu
walio wengi (kaka) hujifunga mkanda hadi jioni kuokoa maisha (rakaa moja kwa siku) lakini dadaz mh wachache. kiukweli sio udsm tu hata vyuo vingine ila sema havisikiki ila hali ni mbaya.
 
kufanya NGONO ni hulka ya m2 wala wasisingizie mkopo ila wanaharibu sifa ya chuo kwa tamaa zao za kimwili najua sio wasichana wote xo inabidi hao wachache wajiheshim kufika chuo kama ndio umeelimika ila jinsi unavyoi2mia elimu yako jamii ndo inaona umeelimika au la, 2sijisahau 2mwogope MUNGU na kuna MAGONJWA.....!!!!!
 
Back
Top Bottom