Msaada: Jjinsi ya kufanya step zote za udahili kuanzia TCU mpaka bodi ya mikopo

brian360

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
224
30
Jamani wana Jf natumai wote ni wazima wa Afya Kaka na Dada zangu.
Naomba nisaidieni kunijulisha procedure zote Mpaka stage ya Kupeleka EMS
Ahsanten
 
Kwa upande wangu mimi labda nikuulize matokea yamekaaje? Kama mazuri,basi tembelea TCU Website Admission Guidebook alafu upate maelezo mengi watakayo kusaidia kuapply. Yakikushinda urudi humu tukueleweshe zaidi.
Pia tembelea,Welcome to HESLB upate maelezo mengi kuhusu loan board.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom