Msaada wakujua ugumu wakusoma electronics+telecom eng

temboemll

Member
Apr 12, 2012
46
2
Wana jamii habar yenu. Wadau nalisikia hili facult la electronics and telecommunication eng ni ngumu, naombeni ushauri na ugumu uliopo linahitaji mtu wanamna gan! Je mtu kama mm nisiyependa kukesha vp nitaliweza?
 
Acha uoga wewe,hakuna kitu kigumu dunia hii kama ukitia juhudi na kumuomba Mungu!Watu wanasoma hiyo kitu na wanapasua kama kawaida!Achana na hadithi za kijinga mnazosimuliana mtaani!
Keep this message in your mind "In God,Impossible Can Be Possible"
 
ni faculty ya kawaida ila GPA yako integemena na juhudi zako na uelewa class then uwe mtafiti/ mdadisi na ujaribu kufanya hii ndo mbinu pekee ya kuperform vizur hii faculty coz imebez kwenye TECHNOLOGY ZAIDI........... wor out utaiweza 2.
 
Nani kakuambia wahandisi wote huwa wanakesha?nenda pale coet uone raia wanavopiga mbonji!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom