Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Taarifa rasmi nlizozipata ni kwamba chuo cha mtakatifu Agustine kimezindua rasmi business incubation centre kwa graduates wa chuo hicho. Centre hiyo itakuwa inarecruit graduates wenye business...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni...
0 Reactions
53 Replies
16K Views
Discuss the role of education in East Africa community Naweza pata msaada kwa ilo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila mwaka hii ishu huwa inajirudia rudia na wahusika kutishia makali ya sheria kuikabiri skendo hii. Naona sasa wapanue wigo wao wa kuchambua nini cha kufanya, inasemekana fibre optic cable sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS University of Dodoma College of Natural and Mathematical Sciences School of Mathematical Sciences Department of Statistics...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je ni kiasi gani kinatolewa kama malipo ya penati kwa mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya kata anapokua kachelewa kulipia ada ya mtiani wa taifa?.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau wa JF,mimi nimemaliza form six mwaka juzi 2010 hivi karibuni nimekua nikisearch jina langu na na majina ya watu wengine kwenye google lakini cha kushangaza kwnye search results google...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana,mitihani yote imevuja.Jana nimewaona vijana wana solve paper la biology kwenye daladala na leo limetoka hilohilo!Nimewauliza wanafunzi wanadai wanamitihani yote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ewe mwanafunzi au mwananchi yeyote, je unataka kufanya tafiti katika mkoa wa tabora kwa kipindi cha likizo ndefu(baada ya semister ya pili) katika nyanja za elimu,uchumi na jamii? Kama jibu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanafj naomba kufahamishwa kama kuna chuo chochote kinachotoa MBA mkani Mtwara kwa sasa. shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau mimi ni mtanzania ila kwa sasa nipo hapa Maryland,USA nasoma pia napiga kazi sehemu nilifikiria kuanzisha kama shule/chuo ya kufundisha mambo ya utalii huko home sasa natafuta fund huku so...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba niulize kwa wanaojua eti faculty ya Actuarial sciences ukisoma Unaweza kufanya kazi gani na je, ina soko?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo niliingia SALUNI moja mitaa ya Holili(BODA)-Moshi mida ya saa 11 jioni,kwaajili ya kupunguza nywele.Nikawakuta wanafunzi wawili wa kike(kati ya kidato cha 2 hadi 4). Kinyozi naye amekaa kwa...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
hivi wadau je ni kweli kunamasomo magumu na rahisi coz ugumu na urahisi wa masomo is subjective
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zilizorushwa na TBC1 saa 2 usiku zinaeleza kuwa baadhi ya walimu wa shule ya msingi Sakasaka iliyoko wilaya ya Meatu, Shinyanga wamechapwa viboko na Sungusungu kwa kosa la kutohudhuria...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Wana jf hii bodi imekua chanzo cha chuki baina ya watanzania,kabla ya kuundwa walisoma bila masharti na vikwazo kama vyao,my take bodi imeshindwa,haina kazi ni ulaji wa wachache.Nawasilisha
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Dah,halmashauri za wenzetu sijui kumekaaje huko,yakwangu mpaka mda huu hola!na sio kawaida kufika tarehe hizi.Inawezekana hazina kuna tatizo.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
samahani wakubwa,naomba kufahamishwa kati ya hizo kozi mbili zinazotolewa katika vyuo vya mzumbe na SUA ni ipi nzuri ambayo naweza hata kujiajiri pindi nitakapomaliza masomo yangu?pia ile...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Taasisi za eucknforde zilizopo jijini Tanga zipo hatarini kufungwa kutokana na ukata mkubwa unao zikabili. Huu ni mwezi wa tatu sasa wakufunzi wanao fundisha chuo cha ualimu kwenye taasis hizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanajajf, naomba ufafanuzi wa majukumu (kwa anayefahamu) kati ya Naibu waziri wa Elimu na Naibu Waziri TAMISSEMI anayeshughulikia masuala ya elimu. Kwani ukifuatilia kwenye vyombo vya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom