Pamoja na kile kinachoonekana dhahiri kuwa kudorora kwa kiwango cha elimu nchini ambapo kwa matokeo ya kidato cha 4 ya mwaka 2015 asilimia 80% ya watahiniwa 433,000 walipata daraja la 4 na 0, na...
Wakuu, naomba msaada wa ku-download prospectus ya OUT(open university of tanzania) sim yangu haifungui pdf msaada tafadhali wadau, kusaidiana ni utamaduni wetu, nataka niangalie kozi wanazotoa kwa...
Kuna walimu ambao katika kujiendeleza kielimu wamesomea ujuzi au fani ambazo ni tofauti na ualimu ikiwa ni pamoja na waliosomea IT.
Hapa ninamaanisha kwamba mwalimu aliajiriwa akiwa na elimu ya...
Kuna taarifa imetolewa na Star TV kuhusu wakuu wa shule 20 waliotumbuliwa majipu kutokana na matokeo ya mtihani 2015. Mwenye taarifa sahihi atujuze please.
Huyu ndiye mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne 2015, Butogwa Charles Shija toka Canossa Girls.
Wasukuma katika ubora wetu, ni zamu yetu.
Tupia neno moja tu la...
Hali mbaya katika shule za Sekondari za Serikali imeendelea kudhihirika baada ya Baraza la Mitihani,NECTA Kutoa orodha ya shule zote zilizofanya mtihani wa kidato cha nne Novemba-2015 inayoonesha...
Nina form form ya scholarship na masters kwa 2016/2017, naomba mtu yeyote mwenye kutaka kwenda kusoma Islamabad pakistani tuwasiliane nmtumie, ataingia kwenye website ya chuo na kuchagua kozi...
Kufeli kwa wanafunzi shule za serikali ni sababu ya walimu kukimbilia shule binafsi kwa kuwa wana ujuzi kwanini wasipewe uchaguzi warudi serikalini hata kama waliacha? Wadau naombeni mchango wenu.
Habari wana JF.
Nina Kijana wangu amemaliza Form Four Mwaka huu na kupata Div. 2. Anataka kusoma PCB.
lakini Physics amepata D ,na masomo ya Kemia na Biolojia amepata C na B.
Naomba wenye...
Msaada kwa vyuo vya afya . nimesoma hadi form 4 miaka ya nyuma kdg, Nina division four ya point28 kwa alama hizi kiswah c, histo d, geog d, civcs d, English c, nikaenda kusoma kozi ya Maabara kwa...
Katika kipindi cha kipimajoto, balalusesa kasema matokeo haya sio mabaya ni mazuri isipokuwa wameanguka kidogo.
Daah huyu professor sijajua alikuwa anaamsha mjadala au uelewa wake ndo unaanzia...
Mimi nimemaliza form four na nimepata C- 2 na D-4 na F- 1.
Akili yangu inanituma nikasome Advance CBG huku nikiwa natafuta C nyingine.
Na mimi nina imani nitakaza. Ila kuna watu wananiambia...
Habari za majukumu ya kila siku wanajamvi, niende moja kwa moja kwenye point!
Nina mke wangu yupo wilaya tofauti na Mimi ninayofanyia KAZI lakini tupo ktk mkoa mmoja, tumeanza taratibu za...
Naomba kuuliza kuna chuo gani kinachofundisha labaratory technician vizuri popote pale ndani ya tanzania ambacho kinaweza mpokea mwanafunzi mwenye div 4 ila ana credit mbili ambayo ni chemistry na...
Habari zenu wanajamvi! Naomba tuelimishane kuhusiana na kupanda madaraja nmekuwa nikipata shida sana juu ya suala hili. Hivi kupanda madaraja ni kazi ya halmashauri/manispaa husika ama ni mpango...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF ENERGY AND MINERALS
CHINA SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR 2016/2017
1. INTRODUCTION
Applications are invited from committed, motivated and qualified...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.