Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

wana jamv natafuta shule ya advance iliyopo morogoro ya mchepuo wa arts.natanguliza shukran
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kwa aliepata taarifa kuhusiana na hii taarifa kuwa vyeti vya wanafunz wa form six waliomaliza mwaka 2015 kutopewa km baraza la mitihan lilivyo agiza kwa hofu ya GPA...hii taarifa niliona juu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NECTA YASITISHA KUGAWA VYETI KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA 2015, VILIVYOGAWIWA VYATAKIWA KURUDISHWA HARAKA Baraza la Taifa la Mitihani (Necta), limeagiza kusitishwa kwa ugawaji wa vyeti vya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau wa elimu nilikuwa nataka kufahamu kwa nini wahitimu wa vyuo mbalimba matokeo yao hayawekwi katika tovuti maalum au tovuti ya wizara huska amalizapo masomo, ila mtu akipata kazi au akifariki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
:high5:Habari ya leo wana jamii forum,kwa jina naitwa Martha Christian nasoma chuo kikuu Tumaini Makumira Arusha mwaka wa kwanza faculty ya Humanity and social science. natafuta na kuomba...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
hivi ni kweli chuo cha CITY COLLAGE.hakina walimu wa kutosha pia ajira baada ya kumaliza ni shida kupatikana. naomba maoni yenu kwa anaekijua vizuri wana jf.nna mashaka na hilo japo mzazi...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Kwa muda mrefu wadau wa elimu wamekuwa na malalamiko mengi kuhusu uendeshaji wa elimu yetu hasa ya msingi na sekondari. Baadhi ya mambo ambayo wadau/wananchi waliowengi hawakuridhishwa nayo ni: 1...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
  • Closed
Waheshimiwa naomba tufahamishane tetesi za ni lini wana anza kutuma maombi ya kujiunga na vyuo vya afya.
0 Reactions
31 Replies
38K Views
Napendekeza na Wizara ilione hili, ili kupunguza vijana wengi mtaani wasiokuwa na kazi au shughuli za kufanya serikali iamue sasa vijana wote waliopata Division Ziro wapewe nafasi ya kurudia shule...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumekuwa na shitukiza Kwa watendaji wazembe wa Serikal, lkn swali je shitukiza hiyo ina matunda au ni kiini Macho!? Sitak kuamini kuwa tangu mwez wa kumi na moja had Sasa pesa ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman, tangu tuanze chuo pesa yet ya transfer bado haijulikani na UE imefika Sasa sijui tufanyeje nin! Au wengine Tayar mmepata pesa!?
0 Reactions
1 Replies
805 Views
habari zenu wakuu?mimi ni mtanzania nae takiwa kwenda kusoma chuo cha nje kupitia scholarship.mda wowote kuanzia sasa naweza kujiunga na chuo hicho kwajili ya usajili utaofanyika mwezi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
waungwana kwa mwanafunz alyemalza kdato cha 4 (science) na yuko na passion ya kuwa degree holder wa computer engineering....sasa unaweza ukamshaur vp huyu mwanafunz aende tech.collg kma...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Ana Div 4 ya 28....Maths,Bios,Civics,B/Keeping,History,Geog,Kisw,English yote D,Commerce F.Maombi ya vyuo vya serikali yapoje?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar zenu wa jf Naomba kwa anaye jua viwango vya ufaulu ya A n ngap had ngap b c d e f nazo n ngap had ngap anijulishe.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Salam!! Jaman hapa halmashauri yetu kuna kituko kinatokea. Mwaka huu miongoni mwa walimu wanaotakiwa kupanda madaraja ni wale wenye sifa hizi; Mosi, walioajiriwa 2013 Waliopandishwa majadaraja na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mdogo wangu ana Credt tatu amezipata kutokana na mitihani miwili yaan crediti mbili za mtihan wa kwanza na moja ya kuresit.Naomba mwenye ufahamu anielekeze kama naweza kupata shule na kwa vipi
2 Reactions
46 Replies
10K Views
MKuu was Chuo Cha Eden Hills College kilichopo Kibaha maeneo ya Msufini Mlandizi, ninatangaza nafasi za kazi za Ualimu wa ngazi za Diploma na Certificate kwa kozi Journalism and Mass...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nina taaluma ya ualimu ngazi ya cheti yaani daraja la IIIA,miaka 5 iliyopita nilipata ajira baada ya kuhitimu chuo,ila kutokana na matatizo niliyopata ktk kituo changu ch kazi ikalazimu nirudi...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Nina taaluma ya ualimu ngazi ya cheti yani daraja la lllA,niliajiliwa miaka 5 iliyopita ila kutokana na matatizo niliyopata ikanilazimu nirudi nyumbani,sasa nahitaji kurudi kazini nifanyeje?? Kuna...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Back
Top Bottom