Masomo ya Tahususi (combination)

Bwojo

Member
Jul 30, 2015
16
2
Habari wana JF.
Nina Kijana wangu amemaliza Form Four Mwaka huu na kupata Div. 2. Anataka kusoma PCB.

lakini Physics amepata D ,na masomo ya Kemia na Biolojia amepata C na B.

Naomba wenye uelewa anisaidie kama anaweza kwenda Form FIVE kwa hiyo combination?

Ahsante.Bwojo
 
Jamani ni chuo kipi nnaweza kusoma diploma ikiwa ufalu ni huu.CIV - 'D' HIST - 'F' GEO - 'D' E/D/KIISLAMU - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
 
Jamani ni chuo kipi nnaweza kusoma diploma ikiwa ufalu ni huu.CIV - 'D' HIST - 'F' GEO - 'D' E/D/KIISLAMU - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
Kwani kuna chuo kinatoa diploma kwa MTU aliyemaliza kidato cha 4 pekee au unamaanisha ile ya ualimu UDOM.
 
Back
Top Bottom