Haludzedzele
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,468
- 529
Habari zenu wanajamvi! Naomba tuelimishane kuhusiana na kupanda madaraja nmekuwa nikipata shida sana juu ya suala hili. Hivi kupanda madaraja ni kazi ya halmashauri/manispaa husika ama ni mpango wa nchi nzima kigugumizi nikipatacho watu wanaanza mwaka mmoja kazi lakini wengine wanapanda wengne hawapandi wakati ni nchi moja kwanini? Mfano tulioajiriwa mwaka 2012 mwezi wa pili wenzetu Geita walipanda mwaka jana mwezi wa 7 haya Bukoba wamepandishwa januari mwaka huu. Naomba mwenye weledi anijuze hii inatokana na nn watu kuajiriwa mwaka mmoja lakini upandaji unaenda tofauti. Mwalimu Kibondo