Kwanini Islamic University haipo Central Admission System ya TCU?

BGG

Senior Member
Apr 5, 2012
134
15
chuo kimuu cha ki Islam morogoro hakimo kwenye central admission system ya TCU kwanini ? nani ya nchi ambazo haina ubaguzi wa kid in? (
 
Ngoja waje wenyewe kufafanua. Wakati mwingine ukiendekeza mambo ya TCU unaweza ukajikuta 90% ya wanaoomba kujiunga chuo chako hawana sifa, hivyo utakosa wanafunzi kabisa. Hata mimi ningependa niwe namiliki chuo ambacho kina idadi nzuri ya wanafunzi bila kujali walifeli au vipi

Kuhusu hicho chuo, watafafanua wenyewe
 
TCU wanadahili academics , hiki cha dini ukishajua kupiga swala umekolifai shida iko wapi ?
Shida itakuwepo kama hawapitii TCU lakini wanapata mkopo HESLB.
Sina comments kwa sasa hadi nithibitishe hilo
 
MUM ipo under TCU ila haipo Cas only. Kwa maana wanachagua wenyw wanafunz kulingana na sifa elekezi za TCU alaf wanayatuma majina TCU.ndo maana wanafunzi wake pia ni wanufaika wa mkopo na wanalipia pia elfu 20 ya TCU.acheni imani potofu kwa kudhani MUM ni madrasa. Wale jamaa hawana huruma ktk masomo hamna degree ya chup pale wala hela. Struggle utapata chako. Wakristo husoma bila tatzo ila lazma sheria izingatiwe.
 
km hakipo itakuwa wenyewe mum wametaka hivyo coz kipibd tcu wanaanza kudahili moja kwa koja walilalamika kwamba chuo chao lazima mtu afate misingi yao mf. mavazi n.k inawezekana tcu walikubaliana nao kua wadahili wenyewe. sasa nyie kizazi cha lawama kitu kidogo tu dini. mwanafunz kafeli ...dini. hujapata kaz... dini . vyuo vya kiislam kimoja dini sasa sijui derikali inajenga vyuo vya dini???
 
Huo ndiyo ukweli pale ukipeleka uzuri disco zko nje kabisa unafanya maandalizi kurudi kwenu
 
km hakipo itakuwa wenyewe mum wametaka hivyo coz kipibd tcu wanaanza kudahili moja kwa koja walilalamika kwamba chuo chao lazima mtu afate misingi yao mf. mavazi n.k inawezekana tcu walikubaliana nao kua wadahili wenyewe. sasa nyie kizazi cha lawama kitu kidogo tu dini. mwanafunz kafeli ...dini. hujapata kaz... dini . vyuo vya kiislam kimoja dini sasa sijui derikali inajenga vyuo vya dini???

Ukweli kabsa mum waliamua kutojiunga na udahili wa pamoja kwa sababu wanahitaji watu walioridhia kusoma na kufuata masharti ya sehemu yenyewe kwanza nature ya chuo kwa mtu ambaye hajazoea maisha ya kuchungwa ataishia getini tu arudi kwao.........lkn wakishawachagua lzm majina yaende tcu
 
chuo kimuu cha ki Islam morogoro hakimo kwenye central admission system ya TCU kwanini ? nani ya nchi ambazo haina ubaguzi wa kid in? (

Kwanza wacha kupotosha watu. Tanzania sijaiona bado "Islamic University" kama ulivyodanganya kwenye kichwa cha habari na pia Morogoro hakuna "chuo kikuu cha Ki Islam" kama unavyodanganya kwenye utumbo wako wa habari.
Morogoro kuna Muslim University au chuo kikuu cha Waislam si kama ulivyodanganya wewe.
 
Back
Top Bottom