cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 160
Naomba kuuliza kuna chuo gani kinachofundisha labaratory technician vizuri popote pale ndani ya tanzania ambacho kinaweza mpokea mwanafunzi mwenye div 4 ila ana credit mbili ambayo ni chemistry na biology.Asanteni kwa muda wenu