Ushauri: Combination ya CBG ni sawa?

robertmbilinyi

New Member
Feb 19, 2016
3
0
Mimi nimemaliza form four na nimepata C- 2 na D-4 na F- 1.

Akili yangu inanituma nikasome Advance CBG huku nikiwa natafuta C nyingine.

Na mimi nina imani nitakaza. Ila kuna watu wananiambia nikasome chuo naombeni ushauri wenu.
 
mm nimemaliza form four na nimepata c 2 na d4 na f 1.akili yangu inanituma nikasome adv..CBG huku nikiwa natafuta c nyingine na mm nina imani nitakaza. ila kuna watu wananiambia nikasome chuo naombeni ushauri wenu
Hyo F ya somo gan
 
Kama C zako ni za masomo ya Sayansi I mean kati ya Biology, Chemistry na Physics omba Diploma katika vyuo vya wizara ya afya na pia kama una C moja ya Sayansi na D mbili omba Certificate katika vyuo vya wizara ya afya
 
Back
Top Bottom