Ni kawaida yetu wasukumaaaView attachment 324171
Huyu ndiye mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne 2015, Butogwa Charles Shija. Binti huyu amefanikiwa kuwagaragaza watoto wa kiume kibao hapa nchini.
wasukuma katika ubora wetu, ni zamu yetu.
Tupia neno moja tu la pongezi kwake.
Anhaaa....wakuu mbona nasikia aliyeongoza ni MCHINA?
Haya ni matumizi mabaya ya social network, na niuhalifu wa kwenye mitandao kabisa aiseee.....Watu wazima mnamuongelea mtoto aliyemaliza kidato cha nne hivyo kwenye mitandao? Mbona akiyasoma haya atajutia kutangazwa mwanafunzi bora!
Mimi kusema ukweli machozi yamenitoka kama vile anayesemwa hivyo binti yangu na wenzake wanayasoma na majirani na wadogo zake na..aah!This is not fair kabisa, mtoto wa watu kakosea nini sasa mpaka unamsemea mbovu hivyo? Assume angekuwa mwanao ndo anasemwa hivyo, ungejisikiaje?
Kweli hata mimi machozi yalinilengalenga kwakweli. Imeniuna sana.Mimi kusema ukweli machozi yamenitoka kama vile anayesemwa hivyo binti yangu na wenzake wanayasoma na majirani na wadogo zake na..aah!