Wakuu naomba mwenye kujua topics za pre entry course ngazi ya diploma ktk hizi technical college haswa Must and Atc zipo vipi katika soma la Physcis na mathematics topics ni zipi wakuu?
Habar zenu Wakuu
Naomba kuingia kwenye lengo la uzi huu niliofungua, kwa yoyote atakaeweza KUPATA au kuwa nacho ktb cha "So Long a letter ".
Au" Barua ndefu kama hii" cha Mariam BA naomba...
Za majukumu wadau,napenda kufahamishwa vitabu vya kiada na ziada bora kwa kufundishia history na geography kwa O&A Level mfano RB Bunnet kwa physical geography,tafadhari anaefahamu anitajie jina...
Habarini......
Naombeni kujuzwa kwa wale wenye uzoefu
Hivi kwa mfano mtu amesoma Diploma kwa miaka 3 hapa Tanzania je ni kweli kuwa akienda South Africa Kuendelea na degree miaka ya Kusoma...
Nimeweka Uzi wangu humu kama Mara mbili unaohusiana na MD lakin baadae nikija kuchek siuoni...ni kwamba mnafuta ama VP ? Na kama ndio kwann? Au kuna sehemu mnauhamishia? Na kama ndio kwann hamni...
Habari wakuu,
Kijana wetu ameharibu matokeo ya kidato cha nne, hivyo tumeshauriana arudie mitihani. Endapo unafahamu shule nzuri kwa resitters yenye hostel tafadhali nifahamishe.
Natanguliza...
habari za jioni wapendwa.
Natafuta kitabu cha HS Code (EAC - COMMON EXTERNAL TARIFF 2012 VERSION)
Please anaejua wapi naweza kukipata naomba anijulishe. nimetafuta sana hadi kwenye duka la...
jaman nimepata habar kwa walohitimu jkt mwaka huu wanasema kua kwa miaka ijayo watakao enda jesh kwa mujbu wa sheria watakaa kwa miez sita badal ya mitatu,kam n kwel jaman
kun faida gan kwa...
Habarini wakuu.
Nataka kuwapeleka vijana wangu, wanafunzi kwa lengo la kwenda kufanya "study tour" DAR ZOO Jumamosi ya wiki hii.
Shida yangu ni kujua utaratibu wao upoje,
Maana'ke ndio mara ya...
Habari zenu wadau!
Naomba mnsaidie kujua mada zinatungiwa mitihani ya RPL, katika masomo ya History, Kiswahili, Basic Mathematics, English na Civics.
Kwa anaefahamu nisaidie mwongozo.
Ndugu, kwa anaejua naomba anijulishe,mkoa wa Kilimanjaro ni Shule gani za private zenye kombineshen ya PCB zinazotoa elimu nzuri.ziwe Shule za wasichana(girls),naomba pia kujuzwa garama za Shule...
Wakuu hasa Wataalam wa Lugha hebu tusaidiane juu ya hili!
Nataka kujua matumizi ya kawaida ya herufi K katika Lugha ya kiingereza bila kuhusisha majina ya vitu. Ni vipi herufi K twazewa kuitumia...
Imepita miezi sasa tangu niapply kwa mara ya kwanza na hatimaye ku-appeal baada ya tangazo lao la kutia matumaini na tambo za kutosha kwenye vyombo vya habari kwamba"HAKUNA MWANAFUNZI MWENYE SIFA...
Salam;
Nimefurahi kwa siri-kali kuwarejeshea zile wiki nane za mazoezi ya kufundisha mashuleni kwa walimu waliopo vyuoni hasa kwenye vyuo vya diploma na cheti ualimu.
Tulifika pabaya in previous...
habari za sasa wanajukwaa? Naomba kuuliza ukisoma bachelor of arts (law enforcement) pale UDSM, unaweza kusoma masters ya kitu gani? Na ajira za uhakika kwa cozi hii ni sehemu gani...
Ndugu waziri wa elimu, sisi wakazi wa manispaa ya Morogoro tunapenda kuwathirisha matatizo yetu kwako kupitia njia hii ya mtandao pendwa kwani tumejitahidi kutumia njia zingine kwa kuwashirikisha...
Wakuu kuna dogo wangu kapata C flat combination ya HKL.lakini ana division 4 ya 26.Ana F mbili chemistry na Basic Maths masomo yaliyobaki ana D yote.
Je,serikali itamfikiria hapa maana dogo kahaso...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.