Msaada kwa vyuo vya afya . nimesoma hadi form 4 miaka ya nyuma kdg, Nina division four ya point28 kwa alama hizi kiswah c, histo d, geog d, civcs d, English c, nikaenda kusoma kozi ya Maabara kwa level ya diploma, na nikapata GPA ya 3, Sasa nataka kwenda kusoma degree he ntapokelewa ama wanachukua watu walopata ngapi. Ordinary diploma nimesoma muhimbili miaka mungu kdg, nisaidie anaejua