Mchoropa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 402
- 304
Habari za majukumu ya kila siku wanajamvi, niende moja kwa moja kwenye point!
Nina mke wangu yupo wilaya tofauti na Mimi ninayofanyia KAZI lakini tupo ktk mkoa mmoja, tumeanza taratibu za uhamisho na jambo la kushukuru tumefika pazuri baada ya Afisa elimu na mkurugenzi wake kupitisha barua za uhamisho hapo nilikua kwa shida kidogo, barua tumeifikisha kwenye halmashauri anayohamia ambapo ndipo ninakofanyia KAZI Mimi na tumeambiwa tusubiri kupata kibali cha kukubaliwa kupokewa, Je baada kupata hicho kibari ni muda gani uhamisho unaweza kukamilika? Ahsante