balalusesa: elimu yetu sio mbaya kama wengi wanadai

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
7,690
13,578
Katika kipindi cha kipimajoto, balalusesa kasema matokeo haya sio mabaya ni mazuri isipokuwa wameanguka kidogo.
Daah huyu professor sijajua alikuwa anaamsha mjadala au uelewa wake ndo unaanzia hapo.
Tusaidiane.
ITV kipimajoto
 
Back
Top Bottom