Mzee23
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 1,727
- 3,614
Hali mbaya katika shule za Sekondari za Serikali imeendelea kudhihirika baada ya Baraza la Mitihani,NECTA Kutoa orodha ya shule zote zilizofanya mtihani wa kidato cha nne Novemba-2015 inayoonesha kuwa hakuna hata shule moja ya serikali iliyo katika 50 Bora.
Katika kundi la shule zenye watahiniwa zaidi ya 40 ndipo angalau kuna shule nne za Serikali zilizo 100 bora. Katika kundi hilo lenye jumla ya Shule 3,452 ni Shule nne tu za Ilboru(ya 53) Kibaha(ya 69) Mzumbe(ya 71) na Kilakala(ya 94)
Kama wadau wa elimu tuainishe changamoto katika shule zetu za Serikali ili kuiboresha sekta ya Elimu nchini..